muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,854
Kuna mada niliona kwamba eti Tanzania inaweza pokonywa nafasi ya uwenyeji wa Afcon Kwa sababu za kuchelewa maandalizi wakapewa Rwanda.
Sijui inawezekana vipi ila kama hii taarifa ni kweli CAF wameipa Kundustan fursa hii basi hata Afcon yenyewe haiana manaa tena,Kwa sababu mechi za ufunguzi na fainali ndio za muhimu Kwa kutangaza Nchi. 👇👇
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1809834967393808591?t=te_MtvTqaSShv_4Zx0ua3w&s=19
Usiogope propaganda mzee 🤣🤣🤣