Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kesho mutawaskia wanasema wao ndio walifanya hio kazi 😂😂😂😂

20240707_205107.jpg
 
Wewe kima nimekukataza kutaja barabara za Dar kulinganisha na huu upumbavu wenu (moderate roads ) yani umeenda mbali hadi kulinganisha huu upumbavu na kimara kibaha high way.? 🤣🤣🤣
 
Wewe kima nimekukataza kutaja barabara za Dar kulinganisha na huu upumbavu wenu (moderate roads ) yani umeenda mbali hadi kulinganisha huu upumbavu na kimara kibaha high way.? 🤣🤣🤣
Umepanic na nimefurahi 😁
 
Kauwanja kenyewe Bado kapo kwenye initial stage kelele nyingi.Et already confirmed.Hivi mlipoomba CHAN ilikuwaje msifikiri CAF wamesahau TZ ikijitoa Leo hakuna AFCON East Africa
Mkijitoa hapo ndipo Rwanda inaingia. Unaweza linganisha Amahoro na Mkapa. Imagine Talanta na Amahoro vile zingeleta picha nzuri ya African skyline.
 
Nimeingia tena Kigoma kwa kina Geza Ulole kwa ziara ya Dr. Mpango inayoanza kesho kwa siku 7.
Hii barabara ya kutoka Mwanga roundabout mpk Ujiji hasa kuanzia mataa ya Mawen wamefanya upuuzi sana.. hakuna hata kuturn right katikat ya barabara.. yan mpk ufike mwisho wa barabara ndo unageuka..
Wanajenga pia kutoka Mwanga roundabout kwenda Stendi kuu haina 'turn to right', yan mpk ufike mwisho wa barabara ndo unageuka kulia.. RM wa tanroad Kigoma tuna kazi nae, lazima aliwe kichwa, hata barabara ya Malagaras hadi Uvinza upuuzi mtupu, mradi una miaka 7 sasa

Sikuhiz nimetingwa, speed ya comments humu ziko mbio sana afu mim bado niko nyuma nazifukuzia, naishia kutoa likes tu
 
Back
Top Bottom