Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anashangaza sana huyu jamaa.
Yani film industry Korea ni industry ya kawaida.
Kuna mambo lukuki Korea yanawatangaza tofauti na filamu.
Mifano ya haraka nimetoa hapo juu.
Wewe Tanzania badala ya kwenda kuomba usaidizi wa mambo ya msingi ya kuendesha nchi unaenda kuomba usaidizi kuhusu filamu.
Bullshit.
😀 Hajafikiria hizo movies zitapata wapi qualities bila AI. Ni sawa na kumpeleka mke five star hotel na kumwambia unataka chakula kama hicho badala ya kumpeleka mpishi jikoni kwa five star hotel akajifunze maujanja
 
Sawa twende na sarafu kwanza, niambie unadhani itacheza kwenye shilingi ngapi hivi mkuu
Niwie radhi ndugu yangu mambo ya sarafu yananichanganya, tusubirie wachumi maana kutafuta average ya deficit, imports, exports, madeni n.k ya nchi zetu ntaangukia pua 😀
 
Dasilinga
Screenshot_20240707_131355_YouTube.jpg
Screenshot_20240707_131409_YouTube.jpg
Screenshot_20240707_131342_YouTube.jpg
Screenshot_20240707_131353_YouTube.jpg
 
Bro huwa unanichoshaga hapo tu.
Taja hizo sekta muhimu ambazo Tanzania tumejifunza toka kwa Korea.

Usijifananishe na Korea,Korea ishapiga hatua we jamaa, katika vitu inavyowatangaza Korea kimataifa filamu haiingii hata tatu bora,kuna mambo makubwa Korea yanawatangaza kuliko filamu.
1)Teknolojia ya silaha na AI na mawasiliano.
2)Afya hususan upande wa cosmetic surgery.
N.k n.k
Aya wewe Tanzania unafanana naye wapi!?
Chawa wa mama bhana akili zao muda mwingine!?
Wewe una matatizo,Tanzania inajinasibisha kwenye ushirikiano na Korea Ili ioate ujuzi na mojawapo ya huo ujuzi ni kweli industry ya filamu na sio kutaka kushindana na Korea.

Korea inaisaidia Tanzania kwenye sekta ya IT sio tuu Kwa kujenga Vyuo vya Dodoma, Kigoma,Manyara na DIT Bali pia Kwa kutoa nafasi za mafunzo ya bure kwenye Elimu zikiwemo taaluka za Afya eng Mlonganzila ni mfano pia.

Hiyo ni area Moja tuu lakini ziko nyingi,Mimi shule niliyosoma Wakorea walikuwa wanatufunza Physics na Elimu ya viungo(physical education).

Kwa hiyo nakushangaa kwamba eti kujifunza film industry ya Korea unaona kwako ni tatizo,Hilo ndio tatizo ulilonalo.Tinataja kuwa Bora kwenye filamu hapa Africa kama Nigeria na sio kushindana na Korea.
 
Wewe sasa ndio mbumbumbumbu... Usiniambie kwamba hujui Samsung imetoka Korea, achana na Joka la umeme mnalochukulia credit na mengineyo.

Juzijuzi tu mlipeleka mdoli bungeni mkasema ni robot, angepeleka tech teams tukuze AI
Kwani Tanzania haishirikiani na Korea kwenye mambo ya technology transfer?
 
Wewe una matatizo,Tanzania inajinasibisha kwenye ushirikiano na Korea Ili ioate ujuzi na mojawapo ya huo ujuzi ni kweli industry ya filamu na sio kutaka kushindana na Korea.

Korea inaisaidia Tanzania kwenye sekta ya IT sio tuu Kwa kujenga Vyuo vya Dodoma, Kigoma,Manyara na DIT Bali pia Kwa kutoa nafasi za mafunzo ya bure kwenye Elimu zikiwemo taaluka za Afya eng Mlonganzila ni mfano pia.

Hiyo ni area Moja tuu lakini ziko nyingi,Mimi shule niliyosoma Wakorea walikuwa wanatufunza Physics na Elimu ya viungo(physical education).

Kwa hiyo nakushangaa kwamba eti kujifunza film industry ya Korea unaona kwako ni tatizo,Hilo ndio tatizo ulilonalo.Tinataja kuwa Bora kwenye filamu hapa Africa kama Nigeria na sio kushindana na Korea.
Una shida ya uelewa.
IT ni jambo la kujifunza mashariki ya mbali!?
Nimekuambia tunashindana Korea!?
Shule zinazofundishwa na hao wakorea zipo ngapi!?
Mbona shule yetu ya serikali hatukufundishwa na hao wakorea!?

Mngewaomba wakorea wawafundishe ufanisi wa hata haya mambo matatu;
1)Uendeshaji wa bandari.
2)Uendeshaji wa usafiri wa ardhi na anga.
3)Teknolojia mbali mbali ya viwanda ili muanze kuunda vitu vyenu wenyewe.
4)Teknolojia na ufanisi katika uhandisi wa miundombinu kama madaraja makubwa na barabara.

Angalau hivyo tu,we unaniletea mambo ya IT ya shule yako hivyo vina massive impact kwa taifa!?

Una short sight km mama yako Samia.
 
Taja hizo tech transfer.
Kama kweli wanashirikiana mngekuwa mshajenga karakana ya kuunda na kurekebisha treni na mabehewa hapa Tanzania.
Kigoma pale tunajenga Chelezo ya kuunda meli ni Mkorea anafanya.

Hizo zingine ni teknolojia ambazo wao wanategemea kuendesha Uchumi wao,huwezi pewa kienyeji.
 
Kigoma pale tunajenga Chelsea ya kuunda meli ni Mkorea anafanya.

Hizo zingine ni teknolojia ambazo wao wanategemea kuendesha Uchumi wao,huwezi pewa kienyeji.
Hilo jambo sio geni la kuunda meli,badala yake mngeunda ushirikiano wa kuongeza ujuzi kupitia SONGORO MARINES.
Una uhakika bro!?
Mbona mwaka wa Magufuli wale wachina walikuja kuwafundisha wahandisi wa Tanzania wa reli na wakawaachia Tech!?
Sio kupewa kienyeji rais wenu ni short sighted leader.
 
Back
Top Bottom