Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

EAST AFRICA HUNGER CRISIS​

EastAfrica-v1.width-1220.jpegquality-60.png
 
The only difference between these two pictures is JKIA ni jengo la duara while JNIA ni jengo mstatili ..
Difference ni kubwa sn kama usiku na mchana, JKIA ni jengo la zamani la mkoloni ni sawa na JNIA terminal two, hata bridges zipo chache na hazifanyi kazi, pia departure lounge ipo nje yn abiria akisha check in anabaki hapo hapo nje.
 
Haya lorry limetumbukia tena likoni sisi nye nye nye tutajenga likoni bridge
 
Hehehe, umepanic ..
Kenya ni nini sasa mzee, nimetembelea maitaifa makubwa ya ulaya ndio iwe hiyo Kunya . ?
In fact sehemu kubwa kabisa ya Kunya haijaguswa, iko fertile na haina ukame,
Ukame ni kisingizio tu mnatumia kuombea misaada ya vyakula, jambo la aibh zaidi mnapata misaada toka kwa nchi kama UAE.
Juzi mmeomba na mkapata msaada wa chakula toka Ukraine . Aibu.

Hehehe huna uwezo wa kunifanya nipanic, mimi ni mzee wa battles, nimekua ranked top kwenye international forums na hata humu Kenyan forums, inapaswa ujitutumue utoke kwenye mipaka ya hiyo nchi uwe exposed kidogo utayaelewa, acha kutegemea hadithi za vijiweni.
 
Unless you aim for little money which to you seems alot. Nadhani hatuko kwenye level moja.

Ni kweli hatuko kwenye level moja, tunawazidi kwenye vyote, uchumi karibia mara mbili yenu.....licha ya kainchi ketu kuwa kadogo na zaidi ya nusu ni kame tupu, hauwezi kupewa vyote, nyie mumepewa raslimali mkanyimwa akili, sisi tukakosa raslimali ila tukapewa ubongo.
 
Back
Top Bottom