Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View of Mount Kenya from Tharaka Nithi County
FmvdcieWIAAWy4Q
Unaweza kutazama chupi ya mwanamke kwa kila angle bure kabisa, lakini ukitaka kufanya naye mapenzi mpaka umfuate alipo uwe naye, na hiyo ina gharama yake.
 
Ukipaa kwenye anga gani, wewe hata hiyo JNIA umewahi kuingia kwenye geti, unvyopenda kujikweza, zaidi ya nusu ya Kenya ni kame tupu ila inawazidi kwenye kila kitu hamtajwi kwenye vitu kama hivi, vinahitaji ubongo

fig_all-country-score-2-01-1024x473.jpg

Ona Kenya ilivyo na bado inawazidi, muwe mnapata aibu
29-Figure3.1-1.png

Hehehe, umepanic ..
Kenya ni nini sasa mzee, nimetembelea maitaifa makubwa ya ulaya ndio iwe hiyo Kunya . ?
In fact sehemu kubwa kabisa ya Kunya haijaguswa, iko fertile na haina ukame,
Ukame ni kisingizio tu mnatumia kuombea misaada ya vyakula, jambo la aibh zaidi mnapata misaada toka kwa nchi kama UAE.
Juzi mmeomba na mkapata msaada wa chakula toka Ukraine . Aibu.
 
Ukipaa kwenye anga gani, wewe hata hiyo JNIA umewahi kuingia kwenye geti, unvyopenda kujikweza, zaidi ya nusu ya Kenya ni kame tupu ila inawazidi kwenye kila kitu hamtajwi kwenye vitu kama hivi, vinahitaji ubongo

fig_all-country-score-2-01-1024x473.jpg

Ona Kenya ilivyo na bado inawazidi, muwe mnapata aibu
29-Figure3.1-1.png
source: Kenya Today
 
Kuna mtu anaitwa Mkikuyu- Akili timamu alikuwa anawapa dozi heavy humu licha ya kwamba ni mkenya lkn humwambii kitu kwa Tz na anajua fika kwamba Tz iko mbali sn uki compare na Kenya, si mlikuwa mnamkataa ndugu yenu humu au umesaau.
Huyo ni mtanzania mwehu, muongo kama mlivyo tu humu, alijiumbua mqwenyewe, vumili, mimi niko hapa kuwaanika na kueneza facts kuhusu Tanzania, wacha kujikosesha ufahamu na vimaneno..,
 
Picha za mitandaoni hazitakusaidia, zaidi zaidi unaji expose ufukara wako, mwenzio Ichoboy amekuja ka Nairobi kwa kazi ya kupiga picha tu na sio mtanzania wa kwanza na hatokuwa wa mwisho kuja kwenye kanchi kenu na kupiga picha. Na wote waliofika hapo picha zinafanana, ma slums, mauchafu, nyumba za mabati ndio symbol ya Kenya, zinawekwa mpk picha ambazo nyie mmezifanyia cherry picking lkn zikiwekwa uhalisia wake humu ni hovyo sn.

So, acha kujifariji na picha za mitandaoni njoo Dar picha, hujiulizi Wakenya wachache waliofanikiwa kuja Dar hawana picha chafu za ku post humu mfano KENPAULITE huwa anakuja Dar na picha chafu hana, wee fukara baki na picha za mwaka 70 zenye plastic bags wkt unajua fika no plastic bags in Tz as we speak.
Eti 1970!😂😂😂😂, imekuuma inabidi utumie nguvu nyingi kudanganya😂😂😂😂😂😂, hiyo 1970 Tanzania ilikua nafuu sana, vitongoji havikukua vimetapakaa kama ilivyo sasa, wengi mlikua mnatembea miguu tupu kule vijijini wakati mnaishi kwa nyumba za nyasi na udongo, hizi uswazi, ufukara na uchafu mlizojaza Dar na miji zenu mmesambaza hivi majuzi tu mkijaribu kutoroka ufukara hohe hahe vijijini...,

1970 iko wapi hapa?👇👇 umeona paper bag hapa👇 kilaza?..., nyambaff, kubali kwenu hautapigwa, inauma ila zoea.., Dar, Zanzibar, Mwanza ni pacha wakufanana😂😂😂😂😂😂😂
1674117076163-png.2487301

1674212613331.png

1674212638914.png

1674212670368.png

1674212680687.png

2023 hapa pako hivi.., ni sasa ama mmejenga ma appartments kama Eastlands eti? ngojeni miaka mia moja mjukuu😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
1674212765096.png

1674213082920.png

Paper bag zikowapi kilaza?
1674212828681.png

1674212840850.png

1674116974569-png.2487296

1674116983878-png.2487297

1674116891462-png.2487293

1674213343599.png
 
Eti 1970!😂😂😂😂, imekuuma inabidi utumie nguvu nyingi kudanganya😂😂😂😂😂😂, hiyo 1970 Tanzania ilikua nafuu sana, vitongoji havikukua vimetapakaa kama ilivyo sasa, wengi mlikua mnatembea miguu tupu kule vijijini wakati mnaishi kwa nyumba za nyasi na udongo, hizi uswazi, ufukara na uchafu mlizojaza Dar na miji zenu mmesambaza hivi majuzi tu mkijaribu kutoroka ufukara hohe hahe vijijini...,

1970 iko wapi hapa?👇👇 umeona paper bag hapa👇 kilaza?..., nyambaff, kubali kwenu hautapigwa, inauma ila zoea.., Dar, Zanzibar, Mwanza ni pacha wakufanana😂😂😂😂😂😂😂
1674117076163-png.2487301

View attachment 2488689
View attachment 2488690
View attachment 2488691
View attachment 2488692
2023 hapa pako hivi.., ni sasa ama mmejenga ma appartments kama Eastlands eti? ngojeni miaka mia moja mjukuu😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2488693
View attachment 2488698
Paper bag zikowapi kilaza?
View attachment 2488694
View attachment 2488695
1674116974569-png.2487296

1674116983878-png.2487297

1674116891462-png.2487293

View attachment 2488707
Picha za 2012 wakati Tanzania ikiwa LDC. Pole
 
Nyie estate roads ziko sehemu za matajiri pekee lkn sehemu za mafukara kama Migori ni vumbi mwanzo mwisho, sisi access roads zipo mpk uswazi na nili share humu, hatuko sawa we are different msee.
Pia mimi nimeona hizo access roads uswazini.., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ndani ya mitaa zenu hakuna barabara haswa, ni panya routes tu..., mko vasco da gama age bado kwa upana na ukubwa.., wachana na main roads kabisaaa, nyie bado sana..,
1674213689026.png

1674116974569-png.2487296

1674116983878-png.2487297

1674213628889.png

1674213646367.png
 
Back
Top Bottom