tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
2012!! ujinga peleka vijiweni.., unajua hii ni youtube ya mwaka gani wewe mwehu? ukweli mchungu, imekutesa moyoni 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Picha za 2012 wakati Tanzania ikiwa LDC. Pole
Penyewe 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Unanikumbisha picha hizi. Duh za zamani sana.
Oh!!! unauhakika unataka tupambane? Umejiandaa?2012!! ujinga peleka vijiweni.., unajua hii ni youtube ya mwaka gani wewe mwehu? ukweli mchungu, imekutesa moyoni 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2488745
View attachment 2488744
View attachment 2488743
View attachment 2488742
View attachment 2488738
View attachment 2488739
View attachment 2488740
Ama kwa sasa mmejenga appartments and organized residentials kama Nairobi? siku ile mtafika hizi👇👇 levels ikija mitaa za kawaida nitag please bila wasi wasi wowote, nitawapongeza roho safi..,
View attachment 2488747
View attachment 2488748
View attachment 2488749
View attachment 2488750
Chuki ndio huwaumiza roho, especially wakikumbuka jiji lao ilivyoWakiona hivi wanasema Pori. Washamba kweli.🤣🤣🤣
Vumilia, ukweli wewe hauwezi kubadilisha, jikubali mlivyo tu utapona, ujinga za vijiweni baki nazo wewe.., ugua pole pole 😝 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥Oh!!! unauhakika unataka tupambane? Umejiandaa?
KabisaaaChuki ndio huwaumiza roho, especially wakikumbuka jiji lao ilivyo
Kwanza unajua hili?Vumilia, ukweli wewe hauwezi kubadilisha, jikubali mlivyo tu utapona, ujinga za vijiweni baki nazo wewe.., ugua pole pole 😝 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Pia Zimbabwe ni Lower middle income, so what? nakuambia hekaya za vijiweni baki nazo kuleeee., ushamba na semi-illiteracy tuondolee.., ona sasa 😂 😂 😂 😂 😂
Nimekuuliza unajua hilo?Pia Zimbabwe ni Lower middle income, so what? nakuambia hekaya za vijiweni baki nazo kuleeee., ushamba na semi-illiteracy tuondolee.., ona sasa 😂 😂 😂 😂 😂
Halafu kabla sijasahau. Mara ya mwisho kenya bila njaa ilikuwa mwaka gani kweli?Pia Zimbabwe ni Lower middle income, so what? nakuambia hekaya za vijiweni baki nazo kuleeee., ushamba na semi-illiteracy tuondolee.., ona sasa 😂 😂 😂 😂 😂
Chuki itakuuwa kijana wa Tandale. Hapo ni Two Rivers Mall, very far from the city center in an area that is mostly green with controlled development. Unafikiri hii ni Dar ya uswazi kila mahali?
Unless you aim for little money which to you seems alot. Nadhani hatuko kwenye level moja.Umeona umedhihirisha nilichokua namaanisha, kunyimwa akili hukujiongeza kuelewa nilichokuambia hapo....
Siku wakenya mkiacha kufa mapema tutajadiliana vizuriChuki itakuuwa kijana wa Tandale. Hapo ni Two Rivers Mall, very far from the city center in an area that is mostly green with controlled development. Unafikiri hii ni Dar ya uswazi kila mahali?
Hawana akili kabisa, akili yao ipo corrupted kuhusu Tanzania ni kama wananchi wa kawaida wa USA wanavyoichukulia North Korea wanaona ni nchi moja mbovu mno watu wanakufa njaa, hakuna barabara, hakuna chakula, hakuna umeme, hakuna maisha kabisa mostly ukiangalia documentaries za USA kuhusu North Korea ndiyo image inazoonesha kuhusu North Korea ila ukifuatilia North Korea kwenyewe ni mambo 100 tofauti!Hawa waliaminishwa kuwa capitalism is good socialism is bad hayo ndiyo matango pori waliyomezeshwa na wakoloni wao lakini wakasahau kuwa akili ya kuambiwa changanya na ya kwako.
Hii nayo ni highway?View of Mount Kenya , Nyeri
![]()
![]()
![]()