Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu hapa mwamba anachekelea baada ya kupokea msaasa wa ugali toka Ukraine, njaa haitambui vita

View attachment 2488679

Anatekeleza policy yake 😂😂😂😂

Screenshot_20230108-173958.png
 
Nimekuuliza unajua hilo?
Maana China yupo kwenye kundi letu pia.
So kwa hizi akili zako uchwara mko level moja na China? Kenya sio wenzenu jua hivyo😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
So kwa hizi akili zako uchwara mko level moja na China? Kenya sio wenzenu jua hivyo😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Hebu tuambie ni nchi ngapi hapa Africa middle income nchi zao zinanjaa?
 
Hii takataka si chochote kwa standard za JNIA..
Banda la kuku with cosmetics aka mabati Godown eti?😂😂😂😂😂😂😂😂
1674219199090.png

ndio ufananishe na hii complex..., JKIA ikiwa Tz itakua a town hivi, Baba levo kawaelezea alicho shuhudia bado unabweka bweka humu 😂😂😂😂😂😂😂
1674219256171.png
 
Banda la kuku with cosmetics aka mabati Godown eti?😂😂😂😂😂😂😂😂
View attachment 2488870
ndio ufananishe na hii complex..., JKIA ikiwa Tz itakua a town hivi, Baba levo ka kawaelezea alicho shuhudia bado unabweka bweka humu 😂😂😂😂😂😂😂
View attachment 2488874
The only difference between these two pictures is JKIA ni jengo la duara while JNIA ni jengo mstatili ..
 
Kalilie kwa choo, hauna lolote wewe, ni domo domo tu nimekuzoea kilaza...,
Huna cha kujitetea na ndio mana ulitafuta hizo picha za juu .. ukasahau kwamba ulianzisha disc kwa picha za ndani ya jengo. Wewe ni mfa maji
 
Banda la kuku with cosmetics aka mabati Godown eti?😂😂😂😂😂😂😂😂
View attachment 2488870
ndio ufananishe na hii complex..., JKIA ikiwa Tz itakua a town hivi, Baba levo ka kawaelezea alicho shuhudia bado unabweka bweka humu 😂😂😂😂😂😂😂
View attachment 2488874
Huoni hata aibu. Shenzi type
 
Ni nchi ngapi hapa Africa za LOWER Middle income zimetajwa kukuwa na watu wengi fukara wa kutupwa kando na Nigeria?
View attachment 2488876
Unaleta Taarifa wakati Tanzania ikiwa LDC. Leta Taarifa za sasa. Si unajua sisi ni middle income country. Au umesahau?
Sasa leta list ya nchi zilizopo Middle Income watu wake wanakufa na njaa.
 
Hawana akili kabisa, akili yao ipo corrupted kuhusu Tanzania ni kama wananchi wa kawaida wa USA wanavyoichukulia North Korea wanaona ni nchi moja mbovu mno watu wanakufa njaa, hakuna barabara, hakuna chakula, hakuna umeme, hakuna maisha kabisa mostly ukiangalia documentaries za USA kuhusu North Korea ndiyo image inazoonesha kuhusu North Korea ila ukifuatilia North Korea kwenyewe ni mambo 100 tofauti!

Ni hivi karibuni tu nilishangaa mkenya haamini kama Tanzania kuna watu wanajua kuzungumza kabisa English, wengi wao wanaamini hakuna mtanzania yeyote anajua kuzungumza English, Mwingine haamini kama Tanzania kuna barabara nyingi za lami za mikoani 😅😅😅
Ni hivyo hivyo ndio North korea inaamini USA wako, na nyie ndio North Korea hapa Africa, mlikua mmekandamiza vyombo vya habari ili kueneza propaganda na kuficha ukweli, sasa tumewaumbua na kuanika kila kitu mnatapatapa mkijaribu kutafuta pakutokea na kujiliwaza tu..., google earth, World Bank, Knight Frank, IMF, CoG, your TBS na kadhalika zimewamulika, na pia Mama Samia wa dini mpenda ukweli..., hamuna lenu nyie, jikubalini tu, hadi raha hamtudanganyi kamwe😂😂😂😂😂😂
 
Unaleta Taarifa wakati Tanzania ikiwa LDC. Leta Taarifa za sasa. Si unajua sisi ni middle income country. Au umesahau?
Sasa leta list ya nchi zilizopo Middle Income watu wake wanakufa na njaa.
Akikuletea unistue, niko palee
 
Back
Top Bottom