Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

If you consider kiambu, ruiru tu be part of Nairobi...

Then Kibaha, bagamoyo, mkuranga should be the part of Dar es Salaam
Bagamoyo is a whole different town with a rural area in between. The photo I posted is of Athi River - Athi River is basically part of the Nairobi cornubation. If you drove from Nairobi to Athi River, you won't feel like you've moved from one city to another. It is a continous urban area. Bagamoyo and Dar is more like Naiobi and Naivasha.
 
Hawa watu wako group moja na Nigerians kwa akili zao za kitapeli kuanzia kwenye economic data mpaka kwenye corruption na propaganda za kiboya. Hiyo ndio akili anayozungumzia MK254 kwa tuliosoma Cuba tumeshamuelewa

Tunaangalia uhalsia, haiwezekani mkawa na liinchi lote hilo lenye rotuba nzuri kote na madini ya kumwaga na vivutio bora vya utalii ila mnashindwa na kainchi kadogo kama Kenya kwenye kila kitu, laana yenu ilianzia zile experiments za Nyerere za kuwatumbukiza kwenye ujinga wa ujamaa, wengi bado mumeganda humo, ni mfumo uliowafanya mkawa wavivu sana.
 
Nairobi Commutter rail inacover 150km na tena haiendi only one direction kama brt yenu ambayo hata haifiki 50km
Commuter Rail in Kenya hata na sisi tunaona

21040282311_9b9d4d55b2_b.jpg
 
banae bidii yakupigana michambo na matusi mliyonayo yanivunja mbavu ....nchi zenyewe zote mbili choka mbaya , umaskini na ajira hamna ,full wizi alafu eti mwaargue nani Bora ,wabongo na wakenya bana tuna kazi na siyo ndogo
 
Bagamoyo is a whole different town with a rural area in between. The photo I posted is of Athi River - Athi River is basically part of the Nairobi cornubation. If you drove from Nairobi to Athi River, you won't feel like you've moved from one city to another. It is a continous urban area. Bagamoyo and Dar is more like Naiobi and Naivasha.
Stop talking nonsense on things you have no idea of. Dar and Bagamoyo is also continuous and so is Kibaha Mkuranga and Kisarawe.
 
Tunaangalia uhalsia, haiwezekani mkawa na liinchi lote hilo lenye rotuba nzuri kote na madini ya kumwaga na vivutio bora vya utalii ila mnashindwa na kainchi kadogo kama Kenya kwenye kila kitu, laana yenu ilianzia zile experiments za Nyerere za kuwatumbukiza kwenye ujinga wa ujamaa, wengi bado mumeganda humo, ni mfumo uliowafanya mkawa wavivu sana.
Sasa nyie wenye akili inakuaje mnakufa njaa karne hii ya 21? Akili zenu zimewasaidia nini hapo?
 
Sasa nyie wenye akili inakuaje mnakufa njaa karne hii ya 21? Akili zenu zimewasaidia nini hapo?

Kwa nchi yetu ambayo zaidi ya nusu ni kame tupu hivyo kunakua na changamoto la kiangazi, ila mlivyo wazembe mngepewa nchi hii mngekufa wote, mna kila kitu ila umaskini unawatesa tangia mzungu aondoke.
 
Hehehe huna uwezo wa kunifanya nipanic, mimi ni mzee wa battles, nimekua ranked top kwenye international forums na hata humu Kenyan forums, inapaswa ujitutumue utoke kwenye mipaka ya hiyo nchi uwe exposed kidogo utayaelewa, acha kutegemea hadithi za vijiweni.

Well then .
 
Jana nilikuwa naongea na mdogo wangu mmoja aliyekuwa anadhani Bongo ni kubaya sana, sasa kapata nafasi ya kutoka na kapiga ziara nchi nne za Afrika, kaenda Kenya, South Afrika, Eswatini na Mozambique, karudi na picha tofauti sana kuhusu UKUU wa Bongo, ila kuna nchi mbili alizitaja kama zina common denominator ya uchafu na watu wa kwenye majiji yao makuu ambayo ni Nairobi na Maputo kukosa nuru kwenye nyuso zao, anasema literally kuna maeneo walikuwa wanatembea wameziba pua…….alishangaa sana, nikamwambia welcome to our world, ukiambiwa uko katika nchi nzuri usichukulie poa, kuna sababu why hata tunapata wageni wengi, usidhani nchi zingine hazina vivutio, shida ni hazivutii wala hazikaliki.
 
Back
Top Bottom