President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Ni nchi moja tu kwenye list itajitokeza.Akikuletea unistue, niko palee
Ni kenya pekee watu wake wanakufa njaa
Ni nchi moja tu kwenye list itajitokeza.Akikuletea unistue, niko palee
Sasa ndio usiseme, maana hali imekua mbaya duniani, mtakua vipi nyie?.., soma bwana wacha kukurupuka, tumia common sense angalau, hekaya za vijiweni uselete humu zezeta...,Unaleta Taarifa wakati Tanzania ikiwa LDC. Leta Taarifa za sasa. Si unajua sisi ni middle income country. Au umesahau?
Sasa leta list ya nchi zilizopo Middle Income watu wake wanakufa na njaa.
Wewe ni kiwete humu, tulia tu paleee, ukija usiwe na uwoga, kwanza kujeni taifa lote niwapepete.., ukweli hamuukimbii 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Akikuletea unistue, niko palee
Wewe ni maiti...,Huna cha kujitetea na ndio mana ulitafuta hizo picha za juu .. ukasahau kwamba ulianzisha disc kwa picha za ndani ya jengo. Wewe ni mfa maji
Sasa tuongee ukweli. Kenya ni middle income country au Middle Finger Country?Sasa ndio usiseme, maana hali imekua mbaya duniani, mtakua vipi nyie?.., soma bwana wacha kukurupuka, tumia common sense angalau, hekaya za vijiweni uselete humu zezeta...,
Ungejua ninavyokuchukulia labda hata ungekufa.. u are nothing lil manWewe ni kiwete humu, tulia tu paleee, ukija usiwe na uwoga, kwanza kujeni taifa lote niwapepete.., ukweli hamuukimbii 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Imekuuma, jinyonge dogo, hauna lako wewe...,Ungejua ninavyokuchukulia labda hata ungekufa.. u are nothing lil man
I see no beauty to compare to JNIA terminal 3 . Tulia tu mzeeImekuuma, jinyonge dogo, hauna lako wewe...,
![]()
Nchi ya City moja, CBD moja, Terminal 3 moja ya maana, alafu uswazi ndio wimbo, pole tafuta size yako, usipandwe na pressure bure dogo, umeanza kuumwa naona, jiondoe mapema wewe, sina huruma mie, utahara humu 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂I see no beauty to compare to JNIA terminal 3 . Tulia tu mzee
Kenya haina hata City. Kenya kuna Sit tu. 🤣 🤣 🤣Nchi ya City moja, CBD moja, Terminal 3 moja ya maana, alafu uswazi ndio wimbo, pole tafuta size yako, usipandwe na pressure bure dogo, umeanza kuumwa naona, jiondoe mapema wewe, sina huruma mie, utahara humu 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Hujiskii vibaya kila siku unaimba wimbo huo huo ..?Nchi ya City moja, CBD moja, Terminal 3 moja ya maana, alafu uswazi ndio wimbo, pole tafuta size yako, usipandwe na pressure bure dogo, umeanza kuumwa naona, jiondoe mapema wewe, sina huruma mie, utahara humu 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Sawa hiyo pia mimi niliona 😂 😂 😂 😂 😂 😂Kenya haina hata City. Kenya kuna Sit tu. 🤣 🤣 🤣
Ukweli lazima ukuingie hadi kwa mishipa, hautakimbia, I will rub it on your face hadi basi 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Hujiskii vibaya kila siku unaimba wimbo huo huo ..?
Basi nenda kawahangaike ndugu zako wapate chakula.Sawa hiyo pia mimi niliona 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Unajiskia lakini.? TzUkweli lazima ukuingie hadi kwa mishipa, hautakimbia, I will rub it on your face hadi basi 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Huoni hata aibu. Shenzi type
Ukweli huwa inawamaliza nguvu, hamutaki kuona hii👇 tatizo ilianzia hapa 👇kwa dogo, poleni nendeni JKIA muufute kabisa 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Hana haya huyo jamaa
JNIA terminal ni moja, mengine ni viosk ndani ya Airport, kama tu vile in Tanzania city ni moja yenye CBD ka moja, mengine ni vijiji...,Unajiskia lakini.? Tz
Iko na international airports zenye hadhi 3 ambazo zote ni operational
1.JNIA terminal 3
2.Zanzibar terminal 3
3.KIA
Mbili zipo under construction na zote zina hadhi na quality and they ar of modern days facilities .
1.Msalato international airport U/C
2.Mwanza international airport U/C
Sasa ndio uniumize kichwa wewe .? 🤣🤣🤣 Mko na JKIA moja tu ndio airport nzuri pekee tajika.. hizo zingine ni vituko
🤣🤣🤣🤣🤣 Hii ni takataka mzee kwa JNIA world class facility.. hii deco inakaa residential apartment ..Ukweli huwa inawamaliza nguvu, hamutaki kuona hii👇 tatizo ilianzia hapa 👇kwa dogo, poleni nendeni JKIA muufute kabisa 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Kufeni mjizike mtapona😝😝🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 kuweni na subra na Mama Samia pengine na yeye atawajenga Terminal nyingine ya maana muwe angalau na mbili😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
View attachment 2488916
View attachment 2488913
View attachment 2488914
View attachment 2488917
View attachment 2488918
View attachment 2488919
View attachment 2488920
Leta haraka.., ukikosa nikusaidie na Goodle Earth 3D views za Dom yoote..., dunia ya leo haitaki kelele na kiherehere, kua mpole hakuna sehemu siwezi kufika in Tanzania 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Kuna vid moja ya DODOMA (mji wa serikali) niliiona kwenye post ya kampuni fulani ya kuuza viwanja.. duh kumeendelea sana DOM . wenye wivu watakufa mwaka huu .. nitaitafuta nipost humu