The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Unaongea lkn ukiwa hujiamini kwa ss tofauti na ilivyokuwa kipindi kile battle inaanza, kitu pekee unachojivunua ni paper GDP ya kutengeneza lkn ground tumewazidi vyote, kwa ss hakuna infrastructure ipo Kenya isiwepo Tz lkn kuna infrastructures kibao zipo Tz huwezi pata East and Central Africa na bado tunazidi kujenga nyingine nyingi ambazo nyie kwenu ni ndoto kuwa nazo kutokana na umaskini mlio nao.Ni kweli hatuko kwenye level moja, tunawazidi kwenye vyote, uchumi karibia mara mbili yenu.....licha ya kainchi ketu kuwa kadogo na zaidi ya nusu ni kame tupu, hauwezi kupewa vyote, nyie mumepewa raslimali mkanyimwa akili, sisi tukakosa raslimali ila tukapewa ubongo.
Hakuna kitu chochote kinachoweza kukupa guts za kujiweka level moja na Tz kwa sasa, tuna airports nyingi na za kisasa kuliko nyie, tuna tuna barabara quality kuliko nyie, tuna madaraja ya kisasa zaidi kuliko nyie, tuna hospitals za kisasa zaidi kuliko nyie, tuna reli ya kisasa ambayo ni ndoto kwa nchi zote za East and Central Africa, hatuna ma slums kama nyie, tuna rate ndogo ya unemployed population zaidi yenu, tunajitosheleza kwa chakula, tuna mabwawa ya umeme mengi na makubwa zaidi yenu, tuna meli nyingi na kubwa zaidi yenu, tuna bus terminals nyingi zaidi yenu yn nikianza ku mention hapa sitamaliza mapema so hivi ndio vitu vinawanyima usingizi na kuwafanya muwe inferior over Tz kwa sasa na bado tunaendelea kuongeza gape cause we are the rich country over you, hayo mambo cjui mlikosa mali sisi hayatuhusu










Eti mna akili zen nchi yenu yote imejaa matakataka namna hiyo labda akili ya chooni kutembea na mbolea matakoni ndio unaongelea hapa






















