Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,112
- 10,550
Sikuachi, uligeuza swali ulipopata jibu, unajaribu kujiepusha aibu, nyambaff.., nimekuonyesha many stations za DMU, yaani unataka nimege nikulishe na nikusaidie kumeza, nyambaff,., Tanzania kungekua na jibu ungesha post.., kwenda kabisa., Size yenu Mombasa na ni kiasi kidogo sana, gorofa tatu, cable stayed bridges na ka BRT,.., makazi ya raiya Mombasa bingwa.., tukome sisi sio wenzenu.Umeshindwa kujibu swali langu unaleta mbwembwe.
Kwanini unaogopa kujibu swali?
Hizo DMUs zenu zinatoka wapi kuelekea wapi?