Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
Haijalishi, hiyo two lanes bridge ni kama tu njia..., tulieni tu na Dar is slum, kule nje hakuna kitu cha maana vile.., wacha kujitekenya dogo, ulifikiria hakuna kitu nje ya Nairobi, pole sana mko na mwendo bado😝😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hata ukiumganisha haya Madaraja still hayatawahi fikia urefu wa Kigongo busisi bridge .. 🤣🤣🤣🚮
Makupa..,
Barabara inayo elekea maupa bridge, Mombasa..,
Kisha Mwache-Mteza Bridge.., classy!