Hii njia hawatapata tabu kwenye ujenzi,ila daah miti hii inazidi kutoka inabidi kuwe na utaratibu maalum wa kupanda miti pembeni wakati wa ujenzi ukiwa unaendelea ili mradi ukikamilika iwe angalau ishastawi kiasi
Wakunya ufukara mlionao unatisha
Angalien wanaosha mifuko iliotupwa, tena wanaoshea kwenye maji ya chooni, ndio maana diarrhea, cholera kundustan haiishi
View attachment 2488062
Kumbe inshu kubwa, nilikua sijui.Kweli kabisa, jamaa yupo real mno and he means business, ukimessup hakwepeshi, hao wakenya hawatamsahau sababu wamepata double kick, kwanza wamenunua parachichi kwa wakulima, wakiwa kwenye harakati za kuyapack kwa lebo ya Tanzania wakashtukiwa wakashurutishwa wakayatupe then na leseni wakafutiwa na Tanzania hawatakiwi kuonekana, hii kitu ni zaidi ya sugunyo na pelesu pelesu 😅😅😅
Huyu mkunya kayakanyaga kwa Bashe kafukuzwa kama mbwa Tanzania, ingekua kipindi cha JPM huyu taahira MK254 angesema Magufuli ana wivu na Wakundustan ila ni kipindi cha kipenzi chao 🤣🤣🤣
Lighi yetu ni bora sana na zaidi ya ligi nyingi tu zilizo orodheshwa hapo. hapo ni Egypt, Morocco, Tanzania.Kumbe SA si lolote si chochote, ligi yetu ni bora sana, hapo uyo aliye juu yetu hastahili kabisa, mwakani tunapiga chini tunaanza kuwatafuta waarabu, si unakumbuka Yanga ilivyowapigia mwingi waarabu kwenye ardhi yao, hyo inatosha kuonesha jinsi gani ligi imekuwa sn.
Acha mzee ukienda huko usiwazingue tena wanakujua kabisa huyu ana pesa,wana jina Lao nimelisahau. Patia mimi chapaa msee! Jichanganye ulete ubandidu,chaaa umeoshwa faster vinatimua mbioDuh kumbe ipo hivyo aisee![]()






Umemsahau bwana mapesa ya mitandaoni.Tungeona hapa, Kapark wapi mkoko, kala nini lunch leo, ana ticket ya holiday wapi , anasukuma mkoko gani etckama Expressway na Majengo ya Mchina tunaonyeshwa hivi kila saa je private life kama wapo vizuri tungehama humu na album za picha. Kuna msela ana residence permit ya ulaya imeexpire miaka mingi lakini bado anayo na anatuonyesha humu
. Kuna mwingine ana lipiwa kila kitu na pisi mbovu yenye harrier na anajaza album za fuckation humu . kuna mmoja alinunua bites za 3000 supermarket na katuwekea humu
. hata kama wanasema hawapendi show off, lakini vitu walivyonavyo kama simu, etc pia vibovu kuna jamaa alipiga picha za location kali huko kwao na device inayoaminika ya mwaka 2006
.
View attachment 2487662


.



Hamna kuskia utaskia labda kuongea ndio shidaLabda kakulia mjini na wazazi walikuwa hawazungumzi kikuyu. Nawaza tu.
Huyo hayuko Nairobi alirudi migori picha ni matbt anaokota anascreenshotHuku mwehu hawezi leta picha, anapita kimya kimya kwa maumivu.., anatafuta taka na mapungufu kujiliwaza, baba levo alizurura akakubali yaishe.,![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Huu ndo ushuzi gani umepost sasa


Sasa hapa si ni cbd boss
Tuliagree niwache kupiga picha maeneo za maana nipige kule kubaya homework bado inakuja relaxPicha za mitandaoni hazitakusaidia, zaidi zaidi unaji expose ufukara wako, mwenzio Ichoboy amekuja ka Nairobi kwa kazi ya kupiga picha tu na sio mtanzania wa kwanza na hatokuwa wa mwisho kuja kwenye kanchi kenu na kupiga picha. Na wote waliofika hapo picha zinafanana, ma slums, mauchafu, nyumba za mabati ndio symbol ya Kenya, zinawekwa mpk picha ambazo nyie mmezifanyia cherry picking lkn zikiwekwa uhalisia wake humu ni hovyo sn.
So, acha kujifariji na picha za mitandaoni njoo Dar picha, hujiulizi Wakenya wachache waliofanikiwa kuja Dar hawana picha chafu za ku post humu mfano KENPAULITE huwa anakuja Dar na picha chafu hana, wee fukara baki na picha za mwaka 70 zenye plastic bags wkt unajua fika no plastic bags in Tz as we speak.
Na ur dollar billionaire wealth yake na ya how many tanzanians?
Three thousand TanzaniansNa ur dollar billionaire wealth yake na ya how many tanzanians?
Hiyo jamaa ni mkenya na ni agent wa secret service kutoka Kenya ambae ametumwa kuja kusabotage avo industry in TZ.Sijajua kosa la huyu maana sijafuatilia, ila ingekua enzi zilee mlikua mumepagawa, huyu angeokotwa kwenye mifuko ya sandarusi kule mto ruvu kama ambavyo tulishuhudia miili ya watu ikiokotwa humo, ila kwa sasa utawala wa sheria naona umetamalaki ambapo aidha mtuhumiwa anafunguliwa mashtaka au anafukuzwa, sio kutia vifaranga kiberiti au kupoteza watu.
Naomba isitokee tena mkaingiwa na kitu kama hicho, subirini mama Mzanzibari awafundishe ukarimu wa Kizanzibari maana hizo roho chafu za huko mikoani ndio zinawaponza, huwa mpo majitu ya ajabu yenye sifa ya kuua hata albino.
Huo ushuzi ndio hii hapaHuu ndo ushuzi gani umepost sasa![]()
Hiyo standard "hatuzingatii" ndio imetufikisha hapa, kitu ambacho kitabaki kuwa ndoto hapo bongolalaKwn hiyo ni mpya, wallahi wakunya standard kwenu hamzingatii kabisa![]()
Yet Mzizima Towers has been doing cladding for the last 20 years! 😂😂😂This was just 3-4 years ago yet it seems so long agoView attachment 2487974