The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,537
Pambana ukishapata utapost tu, mkenya ni mkenya.Si wewe umesema siishi Nairobi? And btw, that was a mistake I did back then. Nyinyi nimewahi post hadi picha za wristwatch na simu hapa![]()
Pambana ukishapata utapost tu, mkenya ni mkenya.Si wewe umesema siishi Nairobi? And btw, that was a mistake I did back then. Nyinyi nimewahi post hadi picha za wristwatch na simu hapa![]()
Good job, nimepita hapo juzi wanaenda vizuri. My advice ni kuona hiyo miti pembeni wanaitunza since barabara ina space ya kutosha kutanua 6lanes plus service road bila kuigusa. Hii barabara ya phase 2 sioni jamaa wakipanda hata mti mmoja tofauti kabisa na phase 1 provison ya miti iliwekwa na Mkandarasi na aliipanda.
Yani kwa matajiri hamna Estate Roads na anataka kutuaminisha kwa mafukara zipo. 🤣 🤣 🤣Shugulikeni kwanza na hizi barabara za vumbi kwenye mitaa yenu ya "kifahari" kama hizi hapa kwanza ndio utaje vitu vidogo kama Migori kinywani mwakoView attachment 2487626
Inferiority complex is eating them to the bone marrow!Yani kwa matajiri hamna Estate Roads na anataka kutuaminisha kwa mafukara zipo. 🤣 🤣 🤣
At least sio kama hiziYani kwa matajiri hamna Estate Roads na anataka kutuaminisha kwa mafukara zipo. 🤣 🤣 🤣
Hii international departure lounge mngeiita tu Tanzania terminal sababu ubaoni ni Tanzania kila mahali 😅😅😅
Thanks for taking time to look at such details. But do you know what it shows? It shows JKIA's dominance as the regional hub 😃Hii international departure lounge mngeiita tu Tanzania terminal sababu ubaoni ni Tanzania kila mahali 😅😅😅
View attachment 2487916
The thread is losing its meaning with each passing dayHivi ni kitu gani kimesababisha watu waache kupost updates za miradi mkaanza kupost uchafu wa mjini?
Turudishe maana ya Battle tena...
Tupashe kidogo Suala la barabara...Eneo muhimu na Nyeti kwenye Jiji
Tangu hii terminal ifunguliwe wamepunguza kupost jnia
Sikuwa naenda job bro, holiday treat, nimekuwa nikifanya kazi the whole year lazima nitake break 🥱
Pole bro najua inauma, ila purpose ya thread ni kuonesha tumezidiana namna gani kwenye kila aspect ya maendeleo. Sasa kwa suala la uchafu hongereni sana mko juu, mnaongoza East and Central Africa if not the whole horns of Afrika, mmetuzidi mbali sana na hatubishi.😅😅The thread is losing its meaning with each passing day
The only difference between Kenya and Tz is that, we have data - you don't. I'm pretty sure it's worse in Tanzania especially considering your richest man is richer than our richest yet our average wealth is higher than your average.
Ndio uhalisia
Embu tujikumbushe kidogo maneno yao pendwa.Pole bro najua inauma, ila purpose ya thread ni kuonesha tumezidiana namna gani kwenye kila aspect ya maendeleo. Sasa kwa suala la uchafu hongereni sana mko juu, mnaongoza East and Central Africa if not the whole horns of Afrika, mmetuzidi mbali sana na hatubishi.![]()
