Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanawatuma wakenya wenzao kuja kuharibu biashara ya parachichi
Wakenya wanatakiwa wapigwe marufuku kabisa kuchukua parachichi za Tanzania sababu saivi Tanzania Ina pack houses za kutosha kupack mzigo wa ukubwa wowote, inashangaza kusikia huyo jamaa alikua amepewa kabisa na serikali pack house wakati Watanzania wenye huo uwezo wapo!
 
Sijajua kosa la huyu maana sijafuatilia, ila ingekua enzi zilee mlikua mumepagawa, huyu angeokotwa kwenye mifuko ya sandarusi kule mto ruvu kama ambavyo tulishuhudia miili ya watu ikiokotwa humo, ila kwa sasa utawala wa sheria naona umetamalaki ambapo aidha mtuhumiwa anafunguliwa mashtaka au anafukuzwa, sio kutia vifaranga kiberiti au kupoteza watu.

Naomba isitokee tena mkaingiwa na kitu kama hicho, subirini mama Mzanzibari awafundishe ukarimu wa Kizanzibari maana hizo roho chafu za huko mikoani ndio zinawaponza, huwa mpo majitu ya ajabu yenye sifa ya kuua hata albino.
Hizo parachichi zimetupwa na nani? 😅😅😅

Unafikiri mtu anaweza kununua parachichi nyingi kiasi hicho kisha azitupe? Ni serikali imeshurutisha zitupwe na kama wangekua ni vifaranga vingechomwa
 
Ni Nyerere na mambo yake ya Ukombozi wa Africa kutumia hela zetu kununulia silaha, kutrain na kuongoza vita wa uhuru wa hizo nchi zisizo na faida yeyote kwetu.
Tatizo siyo Nyerere bali nchi zilizosaidiwa kutokurudisha fadhila na shukrani kwa Tanzania. Kama Nyerere asingefanye vile, leo hii Tanzania tungekuwa chini ya utawala wa kikaburu.

Kumbuka walishamweka Ian Smith ambaye angeendelea kuchukua maeneo ya Kaskazini mwa Zimbabwe. Namibia ilikuwa chini ya kaburu, Angola na Msumbiji chini ya wareno, Kenya nao walikuwa ni vikaragosi wao, yaani taratibu tulikuwa tunazungukwa, alichofanya Mchonga ni kuwawahi.
 
FfpvA1eXgAAnhtC
 
Hizo parachichi zimetupwa na nani? 😅😅😅

Unafikiri mtu anaweza kununua parachichi nyingi kiasi hicho kisha azitupe? Ni serikali imeshurutisha zitupwe na kama wangekua ni vifaranga vingechomwa
Kaka achana na huyu fala, ni chawa wa kitengo kenya, aliyetumwa hapa JF kama instigator. Mara nyingi hupenda kuandika comment za udini na kumnanga Magufuli ili kuudhi baadhi ya watu na kuleta mgawanyiko baina yetu. Utaona, alipotea hapa jukwaani lakini ishu ya maparachichi mabichi (ambao ni mpango wa serikali yao) imemuibua ghafla.
 
Hiyo jamaa ni mkenya na ni agent wa secret service kutoka Kenya ambae ametumwa kuja kusabotage avo industry in TZ.

Mnafikiri hatujui michezo yenu. Mnaexport products hovyo ili bidhaa zetu zisiaminiwe duniani.

When people boycott produce from TZ who benefits the most?? KENYA!!!!

Haya poleni maana nyie siku zote kazi yenu kuwa sabotaged, mara mabeberu wanawahujumu, mara sijui nani yaani mpo wanyonge sana kuwa sabotaged na dunia kwenye kila kitu.
 
Hizo parachichi zimetupwa na nani? 😅😅😅

Unafikiri mtu anaweza kununua parachichi nyingi kiasi hicho kisha azitupe? Ni serikali imeshurutisha zitupwe na kama wangekua ni vifaranga vingechomwa

Sijafuatilia na sina haja ya kufuatilia vituko vyenu na maparachichi na Mkenya, ila hoja yangu hamjampoteza kama ilivyokua kawaida yenu kupoteza watu kwa issue yoyote ile.....nchi yenu ikiongozwa tena na jitu la mikoani huko mtagombana na kila mtu.
 
We umekua tu mchinga kama wengine hapa. Kwaivo hao wasomali si wakenya? Nani ndo mkenya haswa kwako kulingana na wewe?? Alafu hizo statistics zako kama huwezi kuziback rudi tu nazo huko chooni ulipozitoa
Wewe mwenyewe umeshawaita kuwa ni wasomali sasa wanakuwaje wakenya tena? Mbona unaji contradict tena?
 
Back
Top Bottom