Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

May the Almighty grant you more and More Wisdom Mom
IMG_0820.jpg
 
Ichoboy anaweza kusafiri popote humo Kunyaland, anaweza kupiga picha kwa kutumia simu janja yake aina ya iPhone 14 pro Max,
Ichoboy anamiliki gari ya kisasa zaidi, na anaweza kujaza mafuta toka Mombasa hadi Juba to and fro na acount yake isihisi tofauti yotote,
Ichonoy anaweza kuja nairobi na kufikia hotel yoyote hapo Nairobi, kuanzia ole sereni hadi intercontinental,
Watz wa jf sio mafukara kama ulivyo fukara wewe na mafukara wenzio wa huko JamiiForums.com.
Weeh boss sema kulamba huyu mwarabu matako
 
Hii barabara nayo mmeizungusha sana bana. Iacheni ipumzike.
Maeneo mengi Nairobi kilomita nyingi kutoka CBD ni masafi tu na yameendelea ila kuna maeneo chafu pia kama ilivyo hapo Dar. Hii miji yote ni third world, msijifanye hamna uchafu huko. Nilichokuwa nawaeleza ni kwamba CBD ya Nairobi sii chafu na imepangika kuliko CBD karibia zote Afrika ukitoa SA.

Eneo kama hili kwa mfano kilomita 30 kutoka CBD.View attachment 2486595View attachment 2486596View attachment 2486597

View attachment 2486590
Sasa hio si ndani ya estate?

Mimi naongelea barabara za umma....

Halafu 30km from Nairobi si upo kiambu wew...
 
Kilimani is a CBD by itself, so many high rises
20230118_184425-jpg.2486419
Kilimani iko wap hapa...Maana naona CBD yenu kuu ya Nairobi...kama hio Media house kubwa hapo kenya...

Kama ni kule mbele baada ya expressway basi ni kama upanga tu...

Kwanza kilimani, kileleshwa na lavington ni sehemu ndogo mno...hata sijui kwa nini mlizitenganisha...
Ni kama Upanga yote ya Dar...

Basi tu mnakuza mambo
 
Nikiwa kilimani naweza rusha jiwe likafika cbd ya zamani
 
Kilimani iko wap hapa...Maana naona CBD yenu kuu ya Nairobi...kama hio Media house kubwa hapo kenya...

Kama ni kule mbele baada ya expressway basi ni kama upanga tu...

Kwanza kilimani, kileleshwa na lavington ni sehemu ndogo mno...hata sijui kwa nini mlizitenganisha...
Ni kama Upanga yote ya Dar...

Basi tu mnakuza mambo
Kilimani hakuna uswazi na barabara za vumbi kama upanga or whatever you call that uswazi hovel ambayo haitambuliki nje ya jamii forums.
meanwhile kilimani Kilimani Ranked Coolest Hood In Africa, 28th Globally - The Sauce.
 
Back
Top Bottom