mwathadan
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 3,447
- 4,951
Somali ni kabila linalopatikana kenya, ethopia na somaliaWewe mwenyeweumeshawaita kuwa ni wasomali sasa wanakuwaje wakenya tena? Mbona unaji contradict tena?
Somali ni kabila linalopatikana kenya, ethopia na somaliaWewe mwenyeweumeshawaita kuwa ni wasomali sasa wanakuwaje wakenya tena? Mbona unaji contradict tena?
Umemsahau bwana mapesa ya mitandaoni..
Wangekuwa wanafuga hata kuku mmoja mbona tungeambiwa wao ni wafugaji hodari dunia nzima hata Ruto kuku wake ananunua kwao? Yaani hawa watu tuishi nao kwa akili wana udhaifu wao very special![]()













.Namfahamu huyu mwehu vizuri sana, alifikiri Magufuli alikua anawakazia kwa kuwaonea, hana akili ya kujua Magufuli alikua anakazia mpaka familia ya Nyerere (Mwanza alivunja jengo la Madaraka Nyerere lililokua road reserve)Kaka achana na huyu fala, ni chawa wa kitengo kenya, aliyetumwa hapa JF kama instigator. Mara nyingi hupenda kuandika comment za udini na kumnanga Magufuli ili kuudhi baadhi ya watu na kuleta mgawanyiko baina yetu. Utaona, alipotea hapa jukwaani lakini ishu ya maparachichi mabichi (ambao ni mpango wa serikali yao) imemuibua ghafla.
Ni kampuni gani ilipewa tenda ya BRT 3?
Hiki kitu sikuwahi kufikiri kinawezekana, mifuko inaoshwa halafu inarudi sokoni, ina maana wateja hawaoni hii mifuko imeshatumika?
![]()

Hii ni Schipol lete ya Kenya.
Eti hujafuatilia? Sasa umejuaje? Uwe na muda wa kufuatilia ya Tanzania yasiyokuhusu uache kufuatilia ya mkenya mwenzenu Tanzania?Sijafuatilia na sina haja ya kufuatilia vituko vyenu na maparachichi na Mkenya, ila hoja yangu hamjampoteza kama ilivyokua kawaida yenu kupoteza watu kwa issue yoyote ile.....nchi yenu ikiongozwa tena na jitu la mikoani huko mtagombana na kila mtu.
Sisi huwa hatupendi vitu vya kupindisha pindisha au vya ujanja ujanga sisi tuko straight sana.Haya poleni maana nyie siku zote kazi yenu kuwa sabotaged, mara mabeberu wanawahujumu, mara sijui nani yaani mpo wanyonge sana kuwa sabotaged na dunia kwenye kila kitu.
Hiyo aircraft walio donate ni ile ilioisha muda wa matumizi hata spare parts zake kwa manufacturer hazipo na imekua obligated kuwa grounded for safety concerns halafu mlivyo wehu ndio mnaenda kufundishia wanafunzi, wanafunzi wa 21st century wanaenda kujifunza taaluma ya aviation kwenye 19th century syllabus 🤣
Somali ni kabila au Taifa? Kama Somali ni kabila unataka kusemapia Kenyans ni kabila pia?Somali ni kabila linalopatikana kenya, ethopia na somalia
Eti hujafuatilia? Sasa umejuaje? Uwe na muda wa kufuatilia ya Tanzania yasiyokuhusu uache kufuatilia ya mkenya mwenzenu Tanzania?
Ndio ujue hakuna mtu anaweza kuishi na ninyi washenzi msiobebeka, hii serikali ya kipumbavu inayomjali mgeni kuliko mwenyeji ilishawapa mpaka pack house lakini bado mnazingua, kundustan ni wapi mtanzania anaweza kuja na kupewa upendeleo kuliko mzawa wa kundustan? Lakini mlivyo wa hovyo mumeshindwa mpaka kula na kipofu
Sisi huwa hatupendi vitu vya kupindisha pindisha au vya ujanja ujanga sisi tuko straight sana.
😂😂😂😂 Sio masks tu na mifuko, mpaka jeans walizozivaa wenyewe (sio mtumba kutoka nje/zilizoibwa mitaani kwenye kamba) wanazipiga rangi kisha zinarudi sokoni 😂😂😂Wakati wa Corana kuna taarifa zilisambaa walikua wanafua Mask zilizotupwa sijui kama ni kweli![]()
Jiandaeni kufutika kabisa kwenye export ya parachichi sababu mnapozitoaga wamewafukuza hawataki kuwaonaWewe ndiye uliyenitag, sikua nafuatilia hata sikua na habari kuna Mkenya sijui kafanya nini maparachichi huko Tanzania, utakuta hapo sasa mnapiga ukunga nchi yote utadhani jamaa kalipua mabomu, hehehe huwa mnachekesha sana, ila hata hivyo kama nilivyosema kidogo utawala wa sasa kuna upepo tofauti usio na zile roho zenu za kuua albino, mama Mzanzibari anawafundisha ustaarabu.
Wakati wa Corana kuna taarifa zilisambaa walikua wanafua Mask zilizotupwa sijui kama ni kweli![]()
We boya hiyo ni highschool si chuo cha urubaniHiyo aircraft walio donate ni ile ilioisha muda wa matumizi hata spare parts zake kwa manufacturer hazipo na imekua obligated kuwa grounded for safety concerns halafu mlivyo wehu ndio mnaenda kufundishia wanafunzi, wanafunzi wa 21st century wanaenda kujifunza taaluma ya aviation kwenye 19th century syllabus![]()
Kumbe unafuatilia vitu vya Tz kwa ukaribu sana eh!Nyie nyie hapo....hehehe usifanye niangue kicheko, nimesoma sehemu eti polisi ndio wanaongoa kwenye wizi wa SGR, hivi Mswahili lini utakuja kustaarabika...
![]()
Kila kitu Mchongo 🤣Sio hiyo tu, walikuwa wenadungwa “AquaZeneka” yaani maji kama chanjo.