Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani huyu jamaa aliwafanyia nini wa bongolala?

View attachment 2467565
It’s more fun akipigwa zaidi akishinda. Fans wake wanaenjoy zaidi akishindwa, so huwa wanamwambia tutakuwa na wewe mpaka wakuue…….😅😅 ila to him it doesn’t make a difference wether you win or loose……yeye anasema ukimpiga ni kama amekupiga na ukimpiga ni kama amekupiga tu. Yaani mfano mzuri ni hii battle, hata mkitupiga ni kama tumewapiga, na tukiwapiga ni tumewapiga tu, yaani hamponi mandonga style😅😅
 
Kenyans are poor na ushahidi wameuweka wenyewe shemzi!

*68 million account and they are at $56 billion

*Tanzania at 33 million accounts we are at 49 billion.

*Tofauti yetu ni $7 billion only with a difference of 35 million accounts!

*That means our transactions have more value than theirs

* Other thing to note is the population of Kenya is 58 million people but there are 68 million accounts???? Food for thought there

*Could have these numbers been inflated as usual?
hapo mkunya hafahamu, anaangalia wingi tu na si efficiency!
 
Hakuna kipya mzee. Vifaa vya kizamani sana
Siku mkiwa na zana kama hizi niambie

JWATZ.jpg
hawa ndiyo askari, walikuwa kongo kupigana siyo wale wakunya kila picha inayopigwa ni show off
 
Shida kubwa ya Kenya pale mwamzoni walikuwa wanapenda kuimba kwa kiingereza hawakupenda kuimba kwa kiswahili ili ku target local audience mwisho wa siku wakajikuta kiingereza cha ugoko kupenya kwenye masoko makubwa ikawa taabu kuja kurudi kwenye kiswahili it was too late Tz ilishafika mbali na kujijengea ufalme wake hapa EA.
 
Hoyce Temu, Deputy Head of Tanzania mission in Geneva, Switzerland was charged with MISCONDUCT and received disciplinary charges. Her appeal was was officially dismissed by the UNDT.

Ameleta aibu kwenye nchi. This is a huge scandal!

Alidhani UN ni kama ofisi za TZ ambazo hawajali kuhusu integrity? With all the benefits?
 
Bongolala, I am asking you again, do you want me to share poverty reports between these two countries ndio tujueni wapi ndio poverty imepitliza? Hizi longololo zko hazitakusaidia
Poverty haikai kwenye karatasi jirani.
 
Back
Top Bottom