dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,847
- 3,151
Sure rites wale walichukua TRC wakaicha imechakaa, mda utaongeadah Indian company of all the giants around the World on ports operations? Is this Rites part II?
Sure rites wale walichukua TRC wakaicha imechakaa, mda utaongeadah Indian company of all the giants around the World on ports operations? Is this Rites part II?
Atakuwa mwanasiasa huyo.Na ikitokea kuna mkenya anatengeneza milion 19 kwa siku na hajasomea nje ya nchi hapo tz unaeza amini?
Hamna bro kampuni hio iko tanzania haina competition hata moja na sioni ikipata anytime soonAtakuwa mwanasiasa huyo.
Sijui kwanini serikali haijifunzi, Rites kutoka India walipewa railways zote za Tanzania kipindi fulani walichozifanyia ni Mungu anajua anyway hapo lazima kuna % ya kigogo mmoja au kumiKama ni kweli tumekwisha
Hii kazi kapewa tuu kwa kujuana au kulikuwa na competitive bidding?Adani Ports and Special Economic Zone Limited (Adani Ports & SEZ; also APSEZ) formerly known as Mundra Port and Special Economic Zone Limited, is an Indian port operator. APSEZ represents a large network of ports with India's largest SEZ at Mundra. APSEZ is India's largest private port operator with presence across 12 locations.
The company commenced operations at Mundra Port and currently operates 10 ports in India comprising 45 berths and 14 terminals across 6 states.
In FY 2020–21, Mundra Port handled 144.4 million tonnes of cargo. It is the largest container port in India.
Kwani TPA wenyewe wanashindwa kuindesha hiyo terminal au ndio njia ya kutengeneza upigaji tuu?
Hii motorway yetu ni kubwa sana ukanda huu hapo kati kuna lanes 8 pembeni kuna lanes 4 on each side jumla 16 lanes kwa kipande hicho cha Magufuli bus terminal na mbezi stand.
Weka ushahidi hapa acha maneno matupuWe are assembling Mercedes, one of the respected vehicles in the world. Kama unaumwa sana jinyonge.
About quantity, nimekuambia GM wana assemble 10 units per day. Hizo ni magari 300 kwa mwezi. Wewe mnatengeza 50 units kwa mwezi kisha unajiona babe!![]()
Kwanini unablur hii picha na mwenye nayo hakuiblur from the first place? What are you trying to fake here? 🧐
Ninashangaa, watu wanajifanya hawawajui wahindiMtakuja kuniambia hivi ile kampuni iliyokwamisha East African power pool upande wa Tanzania inatokea wapi? Hivi Rites iliyoshindwa kuendesha TRL ilitokea wapi na CV yake ikoje? Kuna sababu kwann nchi zenye awareness hazitoi miradi kwa kampuni za kihindi! Subirini ushenzi wa kila aina ikiwemo illegal workers!
Ngoja tusubiri tuoneSure rites wale walichukua TRC wakaicha imechakaa, mda utaongea
Ndio nashangaa Ticts wamekuwepo muda ina maana tulikuwa hatujifunzi? Ilitakiwa mkataba ukiisha na sisi tunakuwa tumepata ujuzi.Kwani TPA wenyewe wanashindwa kuindesha hiyo terminal au ndio njia ya kutengeneza upigaji tuu?
Una matatizo yako binafsi. Si bure. Ninatetea uhuru wa kila mtu. Sasa sifahamu unazungumzia nini.Sasa wakipost ww unaumia nn au ww ndio mwenye hii thread ww siumekuja juzi juzi tu hapa tunakuona je sisi wakongwe utatuambia nn 🤣🤣🤣
Acha wa outsource Mambo ya umma kila mtu anajua.Kwani TPA wenyewe wanashindwa kuindesha hiyo terminal au ndio njia ya kutengeneza upigaji tuu?