Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Daraja la SGR mwanza 1.4KM

1671960019034.png


1671960061162.png
 
Hii station imewauma sn wakundustan kabla hata iishe

Wakundustan nawakumbusha tuuu hii ndiyo ile station funga kazi, nafikiri mshanielewa, alafu cku hz nishajua kiboko yenu ni hii station funga kazi, kwamba joka litaingia ndani ya station
tapatalk_1022622601_480x270.jpg
tapatalk_-111260668_480x270.jpg
 
Hii station imewauma sn wakundustan kabla hata iishe

Wakundustan nawakumbusha tuuu hii ndiyo ile station funga kazi, nafikiri mshanielewa, alafu cku hz nishajua kiboko yenu ni hii station funga kazi, kwamba joka litaingia ndani ya station View attachment 2457543View attachment 2457544
Kundustan Republic ukiwawekea issue za SGR wanakula kona. Walichobaki kutuonesha ni kile kibarabara chao kimoja tu


Sasa hizi ni ndani ya behewa daraja la tatu. (bado II, bado I)
1671960470409.png


1671960627459.png
 
Mimi nilipenda kuelimishwa faida za uchumi wa kununua bidhaa za wengine bila kuzalisha sisi wenyewe.

Tuchukulie biashara ya mitumba, ilipoanza kipindi kile cha Mwinyi, wachuuzi wengi walifaidika sana (ajira). Kadhalika wafanyabiashara wa maduka ya jumla na reja reja pamoja na watu wachache wanaowazunguka walinufaika (ajira). Kwa upande mwingine, zao la pamba lilikufa kibudu.

Wakati wa Mwalimu watu walivaa nguo za pamba za kushona. Hapa kulikuwa na ajira kubwa sana ya mafundi cherehani (nchi nzima), hasa kipindi cha siku kuu. Kulikuwa na maduka mengi ya kuuza vitambaa (ajira), vilivyotengenezwa kwenye viwanda vya Tanzania kama Urafiki (ajira). Viwanda hivi vilinunua pamba kutoka kwa wakulima wa Tanzania (ajira), wakulima hawa walinunua pembejeo kutoka viwanda vya Tanzania kama ZZK (ajira). Ukiangalia mlolongo huo utaona wanaonufaika walikuwa wengi sana.

Sasa naomba kuelimishwa faida za uchumi wa uchuuzi kwa taifa ni zipi?
Biashara inataka creativity, monopoly haiwezi kuza biashara. Zikizalishwa nguo quality watu watakimbia kwenye mtumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakundustan bado wanajiuliza hapa treni itapita pitaje hapa, tunawaambia sisi ndio wababe wa hizi kazi, hakuna nchi inatukaribia kwa kuwa na modern infrastructures hapa East and Central Africa sasa tulieni muone yale mnayoyaonaga kwenye Tv mtakuwa mnakuja kuyaona hapa
Screenshot_20221225-123812.jpg
tapatalk_-111260668_480x270.jpg
 
Barabara hazina njia za watembea kwa miguu,hazina mitaro,mabanda huku na huku nyumba za ghorofa hazina viwango ndio maana zinaanguka kila siku.
Hawa hawana adabu mkuu uliamua kukausha lkn ona alivyokutusi na anajua kabisa kuna uharo kushoto kulia.
 
Back
Top Bottom