Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo ni kwa shangazi yako?
Oumbavu kabisa. Unajiona unafanya wewe tu but hayo unayoyaweka ni ya kawaida sana. Ushamba unakusumbua

View attachment 2457757
Umeonesha nini hapo? Tanzania hamna cruise ship terminal, cruise ships zinadock kwenye port alafu mnaweka hema kuwapokea watalii
Cruise terminal ya mombasa

IMG_155208_251222.jpg
 
Ni exposure ndogo tu, milima ya mawe iliotapakaa Mwanza ni utalii wa viwango vya kimataifa kabisa, kisiwa cha saanane toka Nyerere abuni ile mbuga mpaka leo bado hawaimarket vya kutosha na nimeshangaa kuona wanyama wamepungua mno kuliko miaka miwili nyuma, japo nawapongeza kwa kujenga tents za kisasa na open lobby kubwa, nasubiri kuona soko kubwa la samaki na lenyewe litaboresha sura ya Mwanza kwa watalii
Hata mimi naona wanyama wamepungua
 
Back
Top Bottom