chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,120
Angalien umaskin wa wakenya
🤣🤣 Hao wanapewa mpaka rushwa za chapati na rais 😂😂
Ufukara wa kutisha uzuri wanajijua, sasa huku ndio penye ahueni vipi ingekua huko North au Coast?
Angalien umaskin wa wakenya
City Cabanas area. The flyover in the middle of the pic leads to Pipeline estate on the right. Picha kama hii kule Dar ungeona dreamhouses left right and center in the most disorganized fashion
Mwenyewe kasema ni poverty inawezekana alitegemea waje 200 sasa wamekuja 200k 😂😂😂Kilaza unajua maana ya Krismasi kweli. Chrismas is all about shsring and bonding. Sasa wewe ukiona mtu anashare na wenzake msimu huu you call it poverty. How did you ascertain that the people he was sharing with are poor. Nchi yenye wafukara wengi ukanda huu inajulikana ni Tanzania and if you want suporting evidence itisha uletewe
Mwenyewe kasema ni poverty inawezekana alitegemea waje 200 sasa wamekuja 200k 😂😂😂
Ulitarajia kuona dreamhouses za Dar?😂😂😂
Mwenyewe kasema ni poverty inawezekana alitegemea waje 200 sasa wamekuja 200k 😂😂😂
Eti sasa wabongo pia mkona traffic ya magari kumi after mumeona Kenya and South Africa christmas traffic jams. 🤣 🤣 🤣
Inferiority Complex inakusumbua.Eti sasa wabongo pia mkona traffic ya magari kumi after mumeona Kenya and South Africa christmas traffic jams. 🤣 🤣 🤣
Hao wakuu wa mikoa si wanateuliwa na raisi kumsaidia kazi, iweje kila mmoja awe na maamuzi take tofauti.Ila we mdogo wangu bhana sometimes unanihuzunisha sana, nyie mko busy kumtukana Samia, tena matusi kabisa. Sisi tukikosoa mapungufu ya JPM mnasema hatuna heshima? Heshima ni nini? Mind you ukiwa kiongozi immunity yako ya kusemwa inakufa, utasemwa ukiwa hai utasemwa ukifa sababu maamuzi yako yameacha athari kwenye maisha ya watu. So sitaacha kumsema JPM au yoyote akionesha mapungufu, ambacho sitafanya ni kuwatukana na kuwakosea adabu.
So ukweli ni kwamba kwenye uwanja wa Mwanza (ambayo ni maamuzi ya JPM), alikosea kutoa maelekezo bila kuwashirikisha TAA na ndio kinasumbua mpaka sasa hivi uwanja haujakamilika, wewe uko kwenye aviation industry unajua. Matokeo yake kila mkuu wa mkoa akija anakuja na maagizo yake. Watu hawataki tu kusema ukweli. Very funny situation.
mambo kama haya.. sasa tanganyika mtakua mnaionea tu viusasa
Ila we mdogo wangu bhana sometimes unanihuzunisha sana, nyie mko busy kumtukana Samia, tena matusi kabisa. Sisi tukikosoa mapungufu ya JPM mnasema hatuna heshima? Heshima ni nini? Mind you ukiwa kiongozi immunity yako ya kusemwa inakufa, utasemwa ukiwa hai utasemwa ukifa sababu maamuzi yako yameacha athari kwenye maisha ya watu. So sitaacha kumsema JPM au yoyote akionesha mapungufu, ambacho sitafanya ni kuwatukana na kuwakosea adabu.
So ukweli ni kwamba kwenye uwanja wa Mwanza (ambayo ni maamuzi ya JPM), alikosea kutoa maelekezo bila kuwashirikisha TAA na ndio kinasumbua mpaka sasa hivi uwanja haujakamilika, wewe uko kwenye aviation industry unajua. Matokeo yake kila mkuu wa mkoa akija anakuja na maagizo yake. Watu hawataki tu kusema ukweli. Very funny situation.
Kama sio Magufuli, isingefanyika hii. Wangetuambia kuwa hatuna uwezo kama ilivyokuwa kwenya bwawa la Nyerere tangu 1970s.
Jam la Kaskazini ni toka uhuru we boya, tena ni jam natural tofauti na jam lenu hilo la kuletwa na ubovu wa barabara.Eti sasa wabongo pia mkona traffic ya magari kumi after mumeona Kenya and South Africa christmas traffic jams. 🤣 🤣 🤣
Those are godowns.
To make the matters interesting yeye ndio aliwaalika wakuje kwake. So wakishakuja anawaita poor tena😂😂🤣😂Poverty is a subjective matter. Yeye alitumia mbinu gani kujua kwamba hao watu wote walikuwa masikini. Wanasemanga fanya mema nenda zako. Yeye alifanya hivyo labda to gain political milliage and even went as far as calling those people poor which in my opinion is wrong.
Poverty is not measured by sharing Christmass goodies with people then calling them poor. It is a scientific data. As i told you, if you want to know mahali poverty imemea mizizi hapa EA itisha data uletewe,don't become a Twitter worrior
Hehehe 😂😂😂😂. They can't beat a quarter of this, especially Kisumu people wameamua😂😂.Eti sasa wabongo pia mkona traffic ya magari kumi after mumeona Kenya and South Africa christmas traffic jams. 🤣 🤣 🤣