Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Dodoma.
Nafikiri by June 2023, Tanzania yetu itakuwa na sura mpya.
BRT phase 2 itakuwa tayari.
SGR phase 2 itakuwa tayari.
Nb
Dodoma sgr station seems huge and modern kuliko Nairobi sgr.
Bado hospitali yao wanaiita Queen Elizabeth? Duh, sisi Princess Margaret tuliibadilisha kitambo sana na kuiita Muhimbili.Wakati wakenya wanaendelea kupiga kelele. Tanzania inasambaa. Sasa tunaenda kuwasaidia Malawi
Mambo yanazidi kupamba moto 🔥Tanzania 🇹🇿 na Malawi 🇲🇼 Sekta ya Afya 🔥
View attachment 2455445
Teargass a.k.a mnuka mavi ulikuwa unaulizia Dodoma station ukasema ipo tofauti na render, tafadhali angalia kuanzia dk ya 4:05 kaongelea design ya jengo inayofanana na mawe na pia usisahau station itakuwa ya kipekee kabisa kwamba itakuwa na tunnel kiasi cha kwamba abiria watashushwa ndani ya station kama zile station za ulaya, hilo limeelezwa kuanzia dk ya 5:08.
Dodoma.
Nafikiri by June 2023, Tanzania yetu itakuwa na sura mpya.
BRT phase 2 itakuwa tayari.
SGR phase 2 itakuwa tayari.
Nb
Dodoma sgr station seems huge and modern kuliko Nairobi sgr.






Hakuna mtoto wa Magufuli alienda.. alikuwa ni mdogo wa Magufuli
Hii familia inafanyiwa dhihaka na unafiki kama juz ya Makamba Snr, lkn bado wakitajwa, wanapigiwa makofi na wananchi
wapi gantry ya Lamu port inayopitisha kondoo sasa? hebu leta evidence nchi nzima ziko tatu pekee? Tanga gantry is on the way too to serve EACOP cargo!Mtwara port ikona gantry crane moja pekee. 😂 😂 😂 stop joking. Nchi nzima munamiliki STS gantry crane tatu pekee.
Vipi kuhusu mahitaji muhimu ya binadamu Kama chakula, usalama na makazi Bora, inaonekana nchi yenu imeshindwa kabisa?Wewe endelea kutafuta video wakati Tanzanian investors are rushing to Mombasa kununua mabasi.
View attachment 2456216
View attachment 2456209View attachment 2456210View attachment 2456211
Wewe ng'ombe ulaya Sio una post mabasi yenye stika za AVA ndio useme wametengeneza wao..Wewe endelea kutafuta video wakati Tanzanian investors are rushing to Mombasa kununua mabasi.
View attachment 2456216
View attachment 2456209View attachment 2456210View attachment 2456211
KDF has entered Kibumba in eastern DRC after M23 withdrawal… the rebel leader under KDF watch dined the withdrawal treaty….the above picture also includes the KDF special Forces in the frontline..
sasa unampa ngosha tender ya design unategemea nn? lazma akuwekee mabanda ya mapanki na mabondo!Mambo ya Jiwe hayo, design and build, force account. Airport terminal ikawekewa vibanda vimezunguka utadhani stendi ya daladala.
Hizo crane zikifika zitakua zinatumika kubeba punda? Bandari yenu ile ni kwaajili ya punda na ngamiaHii port ikona STS Ganty crane moja pekee, ngoja rail mounted gantry cranes za Lamu zifike hii ujinga ya kucompare lamu na hizi fishing port za bongo utawacha.
Wacha ujinga na wewe.sasa unampa ngosha tender ya design unategemea nn? lazma akuwekee mabanda ya mapanki na mabondo!