Anyway, wadau.. mim ni Mechanical Eng, nipo serikaln lkn nina kampuni changu kinahusika na maintenance, service, na analysis za machines zote viwandan ..
Nina vifaa vyote muhimu vinavyohitaji (ni ghali sana, kiasi kwamba viwanda vinaogopa kununua kutokana pia hakuna anaejua kuvitumia)
Mf moja tu wa vifaa, kuna hii inaitwa SKF microlog analyzer
View attachment 2466872 (mim miaka ya 2015-2016 nilinunua mil 40, ila mpk sasa nimeshairudisha hela yote na faida nying juu) mfano kuna kipindi nilikuwa napost nipo kiwanda kimoja maeneo ya tazara, pale nililipwa zaid ya 30mil kwa siku kumi tu.. nilifanya analysis na service consultations ya machines zote. So kuwa expert na vitu flan na kuwa na vifaa vya kisasa vimeniwezesha kupiga hela nying kwa vitu vidogo vidogo tu ambayo kiuhalisi havihitaji hela nying[emoji28] ila sasa kwa sababu ya bei ya vifaa, bas bei ya service lazima niweke juu
Ni hayo tu wadau[emoji16]