Nyingi wapi? maybe kwa dar port amabayo 90 percent of infrastructure mumekomboa.rubber gantry...! hizo ziko nyigii tu
Nyingi wapi? maybe kwa dar port amabayo 90 percent of infrastructure mumekomboa.rubber gantry...! hizo ziko nyigii tu
Designers au Architechts wengi hawaelewi Jengo linaweza kuwa dogo ila design ikawa nzuri
Itajengwa hivyo! Hata mimi nitashukuru!Designers au Architechts wengi hawaelewi Jengo linaweza kuwa dogo ila design ikawa nzuri
Mfano hapo chini ni renders za Kigoma airport. terminal kama litajengwa hvyo nitashukuru .View attachment 2456557
You said rumours? Na bado unapost huku?🤣🤣😂😂Nimepata fununu kuna mradi wa pale sabasaba jijini dar uko mbioni
View attachment 2456604
Fununu maana yake ni mradi ambao bado hawajatangaza lakini design ishatoka kila kitu sasa nimeskia kua soon wanaweza kutangaza 😆😆😆mbona una wivu sana ww na maaendeleo ya tanzaniaYou said rumours? Na bado unapost huku?🤣🤣😂😂
Nazionanga hapo Waterfront Karen nashangaa huyo bongolala anasema nini!Vitu tulikuwa nazo kitambo ndio zinawashtua?
View attachment 2455524
View attachment 2455525View attachment 2455526
Unamaanisha mradi wa TANTRADE?Nimepata fununu kuna mradi wa pale sabasaba jijini dar uko mbioni
View attachment 2456604
Utadhani yanamuhusu…….😅😅Fununu maana yake ni mradi ambao bado hawajatangaza lakini design ishatoka kila kitu sasa nimeskia kua soon wanaweza kutangaza 😆😆😆mbona una wivu sana ww na maaendeleo ya tanzania
Angalien umaskin wa wakenya
Not rumours but the govt said that this area will be redevelopedYou said rumours? Na bado unapost huku?![]()
Hata kigamboni pia walisema hivo. Where is it?Not rumours but the govt said that this area will be redeveloped