Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

City Cabanas area. The flyover in the middle of the pic leads to Pipeline estate on the right. Picha kama hii kule Dar ungeona dreamhouses left right and center in the most disorganized fashion
They can't relate, hawajawai kuona flyover iko na corners. Wanajua tu ile msalaba yao. 🤣 🤣 🤣
 
Ujirani mwema…. Merry Christmas Kutoka Marekani
D77A66E4-1188-441D-8EB2-818CC318EBF7.jpeg
DFB0A911-F6BE-4D07-B337-0A21A0BA20A4.jpeg
 
Poverty is a subjective matter. Yeye alitumia mbinu gani kujua kwamba hao watu wote walikuwa masikini. Wanasemanga fanya mema nenda zako. Yeye alifanya hivyo labda to gain political milliage and even went as far as calling those people poor which in my opinion is wrong.

Poverty is not measured by sharing Christmass goodies with people then calling them poor. It is a scientific data. As i told you, if you want to know mahali poverty imemea mizizi hapa EA itisha data uletewe,don't become a Twitter worrior
Yeye kiongozi wenu ndio kahusisha hilo nyomi na umasikini, hata hivyo kwani ni uongo? unawezaje kuacha shughuli zako ukae kwenye umati mkubwa hivyo kusubiri sukari nusu kilo kama wewe sio masikini?
 
Teargass a.k.a mnuka mavi ulikuwa unaulizia Dodoma station ukasema ipo tofauti na render, tafadhali angalia kuanzia dk ya 4:05 kaongelea design ya jengo inayofanana na mawe na pia usisahau station itakuwa ya kipekee kabisa kwamba itakuwa na tunnel kiasi cha kwamba abiria watashushwa ndani ya station kama zile station za ulaya, hilo limeelezwa kuanzia dk ya 5:08.

Wakenya poleni sana View attachment 2456314
Kaka hii itakua komesha, mnuka mavu Teargass hauwezi jibu kitu atafyata .. 🤣🤣🤣 oy ni bonge moja la Station and the most modern in Afrika..
 
Nakuelewa kamanda lakini fikiria vizuri, pale tuna lane 2 za BRT, kuchonga tunnel maana yake inabidi uwe na lanes 4, 2 zinyooke na 2 ziganywe kwenda buguruni na nyingine mwenda kurasini, hapo ndio mtihani, hakuna hiyo nafasi.
Mkuu tunnel ni kwa BRT ya kutoka airport kwenda mjini, ya kwenda Buguruni si zitapita juu ya tunnel! Hapo maana yangu ni kuharakisha abiria wanaoenda airport wakati mwingine pia viongozi wanaweza kutumia hiyo BRT r
 
Yeye kiongozi wenu ndio kahusisha hilo nyomi na umasikini, hata hivyo kwani ni uongo? unawezaje kuacha shughuli zako ukae kwenye umati mkubwa hivyo kusubiri sukari nusu kilo kama wewe sio masikini?
Huelewi maana ya Krismasi ni nini wewe bwege. Pili,ukitaka tushare data za poverty rates kati ya hizi nchi mbili niambie. Domo domo hazitakusaidia
 
Huelewi maana ya Krismasi ni nini wewe bwege. Pili,ukitaka tushare data za poverty rates kati ya hizi nchi mbili niambie. Domo domo hazitakusaidia
Poverty iliopo huko inatisha, Christmas huko ni mwendo wa chai ya rangi kwa hisani ya mbunge wakati Tanzania ni mbuzi zinadondoka kila nyumba wala sio kuku, ni mbuzi au ng'ombe
 
They can't relate, hawajawai kuona flyover iko na corners. Wanajua tu ile msalaba yao. 🤣 🤣 🤣
Ona wanavyoipiga vita sasa kwenye posts zao! 😂😂😂😂
These people are so desperate
 
Poverty iliopo huko inatisha, Christmas huko ni mwendo wa chai ya rangi kwa hisani ya mbunge wakati Tanzania ni mbuzi zinadondoka kila nyumba wala sio kuku, ni mbuzi au ng'ombe
Bongolala, I am asking you again, do you want me to share poverty reports between these two countries ndio tujueni wapi ndio poverty imepitliza? Hizi longololo zko hazitakusaidia
 
Back
Top Bottom