The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Outering road a.k.a chinja chinja naijua hiyo road kwa idadi kubwa ya vifo inavyosababisha.Unaforce issues msee, hapo bara bara ni dual saii, im sure unajua outering road
Outering road a.k.a chinja chinja naijua hiyo road kwa idadi kubwa ya vifo inavyosababisha.Unaforce issues msee, hapo bara bara ni dual saii, im sure unajua outering road
Mtaendelea kufa kwa njaa Hadi lini?So SA na Nigeria waliomba? US are very strategic sana, they don't do things just for the sake, pengine ujitoe tu ufahamu ama hauwajui marekani., Kenya ni economic giant wa East Africa.., ebu type economic giant of East Africa uone jibu?.., na Kenya ni miongoni mwa giants in African context.., so zoea mapema



A small town in China with a population of 2.7 million people and Tatal GDP of $58 billion by 2021 .. a town called Zibo 👇View attachment 2399593View attachment 2399595View attachment 2399596View attachment 2399597... Ndio tunaishi dunia Moja na wao lakini hatuna namna 👇.
Na wewe kwa akili zako ulikuwa unawaamini hao matapeli? Tangu lini sgr ya ukweli ikajengwa kwa gharama cheap kama ya Bongo?Tanzania tuko pabaya sana,Magu alitudanganya eti sisi ni donor country😭nimecheki reli yetu🚮🚮🚮 ata heri ya Kenya iko Kama ya USA,yetu tumeletewa ya kubeba wakulima wa kahawa uko Korea🚮
Taahira wewe hiyo ni repackage ya mchele kutoka Tanzania, hamuwezi kujilisha hata kwa County moja
Mchele wa Tanzania upo mpaka mbele!
Ziara ya Rais China 👇Kuna vitu vitatu nafikiri vitazungumzwa.
1) nadhani mh rais ameenda kutafuta wawekezaji
2) nafikiri watazungumza kuhusu reli ya tazara ijengwe Kwa kiwango cha Sgr kama unakumbuka mwaka huu rais wa Zambia alikuja tz na akaomba waangalie jinsi ya kujenga reli mpya ya tazara, kama tunavyojua hii reli ilijengwa na wachina Kwa jasho na damu.
3) pia nafikiri kuna mazunguzmo yatafanyika juu ya bandari ya bagamoyo.
Hawa Wakenya ni mbwa sn, wanaiga kila kitu, sio wabunifu kabisa. Hapa nilikuwa napita mitaa fulani huko Sweeden kwa Euro truck simulator 2 nikakutana na hii ambayo wameiga ila yao ina muonekano mbaya kama Kawaida yao low qualityView attachment 2399386View attachment 2399387View attachment 2399388



Hii ni kwaajili yako kaka Don YF .. pitia hii baadhi ya miradi mikubwa Egypt . One among the biggest fish farms on earth in Egypt. Green House technology in Egypt supported by china
. Brand New Mansoura City in EgyptView attachment 2399394View attachment 2399396View attachment 2399398Nigeria ni joke bhana, hakuna kitu kule nae pia ni paper tiger tu
Sasa pia water tank ya 1990s ni kitu ya kukukasirishaView attachment 2399459
AC kwenye train zetu ni cheap sana sababu tunatumia umeme wetu wa bei chee, mchina hawezi kuchoma imported diesel kuwapooza Wakunya wakati the project is already white elephant



bado hauwezi kwepa.Nigeria ni kama Kunyaland, gdp za makaratasi, kwa ground things are saying otherwise.
Mmekalia kuimba gdp wakati Samoei Ruto na Aisha Jumwa wanawafyonza kisawasawa. Vipi bei ya unga imeshashuka?bado hauwezi kwepa.
i told u, whenever u mention a gdp of a country, please tag it with tht country's population.
thts to say kenya can never be compared to nigeria at any given level. otherwise u'll not be consistent
Hata hamna aibu kutupostia daraja la two lanes hapa.
Mmekomaa na daraja la two lanes?😂😂😂Yaah kwenye madaraja tumekomaa nayo sio poaView attachment 2399364View attachment 2399365View attachment 2399366
We kama utakufa kufa tu .. we unafkir kwa daraja hili 500 m tuache kupost kweli.?,👇Hata hamna aibu kutupostia daraja la two lanes hapa.
Hii kitu ni 500 meters ama 50 meters? To make the maters worse ni two lanes.We kama utakufa kufa tu .. we unafkir kwa daraja hili 500 m tuache kupost kweli.?,👇View attachment 2399931View attachment 2399932View attachment 2399933View attachment 2399934
itasalia kua ndoto bongo kupata wasanii highclass hizi hadhi.. ata zuchu bado sana, ata nnandy lower class
nikita chebet kering from karen, nbi 👇🏽. her home county eldoret, uasin gishu