Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,100
- 32,922
Hawa nyang’au bado wanaishi mwituni....Africans don't listen to western music nowdays
Hawa nyang’au bado wanaishi mwituni....Africans don't listen to western music nowdays
so kwako, maisha haya highend and affluent kiasi hii, in a major powerhouse city ni kuishi mustuni.!? mzee unashangaza sana🤔Hawa nyang’au bado wanaishi mwituni.
TAZARA haibadilishwi kuwa SGR that will never happen!Kuna vitu vitatu nafikiri vitazungumzwa.
1) nadhani mh rais ameenda kutafuta wawekezaji
2) nafikiri watazungumza kuhusu reli ya tazara ijengwe Kwa kiwango cha Sgr kama unakumbuka mwaka huu rais wa Zambia alikuja tz na akaomba waangalie jinsi ya kujenga reli mpya ya tazara, kama tunavyojua hii reli ilijengwa na wachina Kwa jasho na damu.
3) pia nafikiri kuna mazunguzmo yatafanyika juu ya bandari ya bagamoyo.
Who lied to youBut we all know Nairobi has no water . a reason in Kenia thousands die of cholera on monthly bases .
Kwanini isibadilishwe/ isijengwe upya?TAZARA haibadilishwi kuwa SGR that will never happen!
Who lied to you
Kwanini isibadilishwe/ isijengwe upya?View attachment 2400022
Labda iwe upgraded to electric ila sio kubaslishwa mzeeKwanini isibadilishwe/ isijengwe upya?View attachment 2400022
It won't make economic sense as far as cross border seamless transport is concerned!Kwanini isibadilishwe/ isijengwe upya?View attachment 2400022
Zambia ndio Wana push Sana Sgr ijengwe ili kurahisisha usafiri wa mizigo kutoka dar.
Mm naona isibadilishwe..it will be expensive and it will take a toil on Tanzania economy with more debt..we should focus on more roads vijijini bado lami haitoshi, umeme (hasa supply na stability ya national grid), Port bado Dar Port ni ndogo sana , Housing SchemeKwanini isibadilishwe/ isijengwe upya?View attachment 2400022
Bado mnaaminI kuimba kama wazungu ndio kutawapaisha? Ha ha ha. Kweli nyinyi nyang’au bado mnaishi msituni.so kwako, maisha haya highend and affluent kiasi hii, in a major powerhouse city ni kuishi mustuni.!? mzee unashangaza sana🤔
Iyo hata Biden anajua...sema itachukua muda kidogoNiliongea na mama mmoja wa kimarekani juzi kati alikuwa anaelekea Kilimanjaro nikamtania "China inakwenda kuchukua nafasi ya USA kama Superpower miaka michache ijayo je wewe unakubali hilo?" Akajibu shortly kabisa "Definitely "
Wapande miti mingi apo patapendeza sanaHii Dodoma hii nyie subirini tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata hii inaenda kuwa CGR kama ni project under MDC for SADC region!
- Mtwara to Mbamba bay SGR 840km
- TAZARA 970km (Tanzania side) ..
Ujenzi wa Mtwara to mbamba bay SGR imesikika sana kuliko hata TAZARA
View attachment 2400090
View attachment 2400100![]()
Mtwara Development Corridor - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
We ni mjinga aje?daraja ni daraja tu liwe 4lanes uko porini kuna foleni?Hata hamna aibu kutupostia daraja la two lanes hapa.
Wewe nawe ni wa kuongea kuhusu madaraja mbele ya Tz? Haya kama wami ni two lane unalalamika kupostiwa wewe mbona umepost half lane [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mmekomaa na daraja la two lanes?[emoji23][emoji23][emoji23]
Jengeni vitu vya maana.We ni mjinga aje?daraja ni daraja tu liwe 4lanes uko porini kuna foleni?