tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Mlime ule quality sio wa vitumbua ndio mtapunguza import,nani atachagua huo mchele over super rice from Kyela Tanzania..?This is going to reduce rice imports sana!
Mlime ule quality sio wa vitumbua ndio mtapunguza import,nani atachagua huo mchele over super rice from Kyela Tanzania..?This is going to reduce rice imports sana!
My prayer ni bei ya mchele ya mwea ishuke. Kwanza the pishori and basmati rice coz its very sweet compared to the fake import rice from Tanzania and Pakistan. Ni tamu sana hiyo mchele ya MweaThis is going to reduce rice imports sana!
Ukionja mchele kutoka Mwea tuusan hutawahi tamani mchele kutoka Tanzania tena maishani. Harufu pekee ya pishori nikama marashi. Mwea kunalimwa Pishori aromatic rice kwa kiwango kikubwa pamoja na Basmati rice, Brown rice na type hizi zingine za kawaida za mcheleMlime ule quality sio wa vitumbua ndio mtapunguza import,nani atachagua huo mchele over super rice from Kyela Tanzania..?
Pishori rice ya mwea is the best, hii rice inauza sana na ni expensive coz of quality, zile zenu za Tz ni cheap kwa soko, zinajulikana as low quality.., Mwea pishori ni noma, unaeza uliza tu mwenyewe kama hautaniamini..,Mlime ule quality sio wa vitumbua ndio mtapunguza import,nani atachagua huo mchele over super rice from Kyela Tanzania..?
Egypt Kufikia SA ata quality ya life ya watu wake on average will be ages.., chunguza, compare pia lifestyle ya raiya wa hizi nchi mbili na service sectors.., SA iko mbele sana.., ata in Africa mambo mengi wakitaja nchi za Africa huwa reports zinasema "outside South Africa".., hiyo tu ni kiashiria wako dunia yao hapa Africa, Egypt bado..,Uko sahihi,lakini wameamka na wanafanya mambo makubwa sio mchezo...speed yao ni kubwa mno
Ya kenya sasaKwa mnaotaka kujua tofauti ya train za Tanzania na Kenya kwamaana ya locomotive pulled coaches angalia utofauti kwenye HVAC system. Train ya Tanzania ni full AC and heating while ya Kenya ni ya kufungua dirisha na kutoa kichwa nje nikimaanisha ni ile ya kuchungulia nje.View attachment 2399498View attachment 2399499
Hii ni kwaajili yako kaka Don YF .. pitia hii baadhi ya miradi mikubwa Egypt . One among the biggest fish farms on earth in Egypt 👇. Green House technology in Egypt supported by china 👇. Brand New Mansoura City in EgyptView attachment 2399394View attachment 2399396View attachment 2399398Nigeria ni joke bhana, hakuna kitu kule nae pia ni paper tiger tu
Hasa kama nyie mnaimport rice from tz huo sisi tunaupataje?manake hata nyie hauwatoshiUkionja mchele kutoka Mwea tuusan hutawahi tamani mchele kutoka Tanzania tena maishani. Harufu pekee ya pishori nikama marashi. Mwea kunalimwa Pishori aromatic rice kwa kiwango kikubwa pamoja na Basmati rice, Brown rice na type hizi zingine za kawaida za mcheleView attachment 2399496View attachment 2399492
Na hii ni daraja la tatuKwa mnaotaka kujua tofauti ya train za Tanzania na Kenya kwamaana ya locomotive pulled coaches angalia utofauti kwenye HVAC system. Train ya Tanzania ni full AC and heating while ya Kenya ni ya kufungua dirisha na kutoa kichwa nje nikimaanisha ni ile ya kuchungulia nje.View attachment 2399498View attachment 2399499
Nakubali ila wao watatutangulia sisi situnacheza tu apaEgypt Kufikia SA ata quality ya life ya watu wake on average will be ages.., chunguza, compare pia lifestyle ya raiya wa hizi nchi mbili na service sectors.., SA iko mbele sana.., ata in Africa mambo mengi wakitaja nchi za Africa huwa reports zinasema "outside South Africa".., hiyo tu ni kiashiria wako dunia yao hapa Africa, Egypt bado..,
Sijui kuhusu Tanzania lakini apa Kenya Pishori na aina nyingi za mchele zipo madukani na soko Kenya kote, wewe kama mteja ndio unaamua ni mchele gani ungependa kununua pale. Kitu kinafanya wakenya kununua mchele kutoka Tanzania ni bei. Unapata pishori inaweza ikawa double price ya mchele wa Tanzania au Pakistan. Lakini pishori ingekua bei moja na mchele wa Tanzania automatically unaprefer pishori.Hasa kama nyie mnaimport rice from tz huo sisi tunaupataje?manake hata nyie hauwatoshi
Hivi Tanzania kuna Barabara ina controlled access katikati ya mji ambayo unaweza piga speed za 100km/hr+ bila kuua wapitanjia?Wakenya hii ndio BRT infrastructure au mnalakusema..?View attachment 2399503
It's so funny kunyalander teaches me agriculture especially rice farming 😂😂😂😂Why are you so foolish? Ni kuzaliwa au maumbile ya tanzania? Thiba dam was built to double rice production in Mwea irrigation scheme and put an extra 10,000 hectares under irrigation.
Ili uweze kulima mchele bila kungoja mvua, you need sufficient water in the rice paddies all year round. Na ndio maana hii dam ikajengwa sababu kitambo maji yalikua yakienda kwa rice paddies mara moja kwa mwaka. Kukikosa kunyesha, maji yanapungua kwa kiwango hadi hayatoshi kuweza kuflood kwenye rice paddies. Lakini sasa hivi maji yatakua yanaenda all year round kunyeshe kusinyeshe.
Wakulima wa nini wewe nyumbu hapo kuna mradi wa wakulima au backyard gardeners?Wakulima wa Mwea walikua wanategemea mto Thiba ambao unapunguza maji kwa kiwango kikubwa sana wakati mvua hazinyeshi. Now that kuna dam, hakuna mambo ya maji kupungua tena. Ni kulima all year round.
Taahira wewe hiyo ni repackage ya mchele kutoka Tanzania, hamuwezi kujilisha hata kwa County mojaMy prayer ni bei ya mchele ya mwea ishuke. Kwanza the pishori and basmati rice coz its very sweet compared to the fake import rice from Tanzania and Pakistan. Ni tamu sana hiyo mchele ya Mwea View attachment 2399490
Wacha bangi broKwa mnaotaka kujua tofauti ya train za Tanzania na Kenya kwamaana ya locomotive pulled coaches angalia utofauti kwenye HVAC system. Train ya Tanzania ni full AC and heating while ya Kenya ni ya kufungua dirisha na kutoa kichwa nje nikimaanisha ni ile ya kuchungulia nje.View attachment 2399498View attachment 2399499

Wewe Funga mdomo kwenye mambo ya vyakula jiondoeni kabisa Yaani hampo, Tanzania ni sayari nyingine kwenye hizo angaUkionja mchele kutoka Mwea tuusan hutawahi tamani mchele kutoka Tanzania tena maishani. Harufu pekee ya pishori nikama marashi. Mwea kunalimwa Pishori aromatic rice kwa kiwango kikubwa pamoja na Basmati rice, Brown rice na type hizi zingine za kawaida za mcheleView attachment 2399496View attachment 2399492