Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Unaelewa hata unachokiongea,.? nikitaja hizo modern infrastructure unafkiri Nairobi inaweza kaa na DAR mahala pamoja.? 2 overwater Cable stayed bridges, three phases of BRT, 2km of SGR viaduct in the city center, a good number of BRT terminals, kama ni hivyo vi interchange mixer flyovers tunavyo.. sasa nani ni zaidi mzee.? 🤣🤣🤣.. u will never have BRT and those Cable stayed bridges labda kwa miaka 50 ijayo. Alafu upo hapa kujipiga kelele 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yaani ni Dar tu? 😂 😂 😂 miaka ngapi? alafu unalazimisha kujifananisha na Kenya, cheza na akina Malawi na Msumbiji ukingoja mkamilishe hizo interchanges 5 za hovyo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂