Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Iyo gdp inaumiza kichwa sana
emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png
emoji2.png
emoji1787.png
Imagine hiyo figure, kwenye small town kama hiyo 🤣🤣 ila china standards zao bhana eti a place with 2.7 million people ni small town.. hatuishi kwenye dunia yao kabisa
 
Kwa mnaotaka kujua tofauti ya train za Tanzania na Kenya kwamaana ya locomotive pulled coaches angalia utofauti kwenye HVAC system. Train ya Tanzania ni full AC and heating while ya Kenya ni ya kufungua dirisha na kutoa kichwa nje nikimaanisha ni ile ya kuchungulia nje.View attachment 2399498View attachment 2399499
Nilikuwa najiuliza dirisha unafunguaje hapa, kumbe ni full AC, alafu tunaambiwa hizi third class, yajayo yanafurahisha.
 
Umedanganya ungechunguza kwanza nimetumia SGR dirisha hazifunguki, na kuna AC., yaani watu wa guesswork tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo train yenu ni ugly sana wacha kujiliwaza kwa porojo,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2399504
View attachment 2399505
Sio kila kitu unabisha tu ili mradi, kama sio ya kufungua dirisha basi tueleze hii separation hapa kazi yake nn?
Screenshot_20221027-191522.jpg
Screenshot_20221027-191548.jpg
 
Hii ni siku ya mashujaa yao, kulikua na offer bei ya tusker iliuzwa kwa bei ya promotion ambayo ni sawa na bei ya kawaida ya beers za Tanzania, angalia jinsi wanavyotaka kuuana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hawa ndio wenye purchasing power [emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi vitasa ni noma mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nilikuwa najiuliza dirisha unafunguaje hapa, kumbe ni full AC, alafu tunaambiwa hizi third class, yajayo yanafurahisha.
Huo mzigo umeundwa from scratch Sa wanategemea utakua mzigo wa kitoto?lazima iwe Mali haswaa,Tusibiri 2nd and 1st class locos tuone...I hope hata kichwa haakitakua cha kindezi
 
Wanajiandaa kua super power miaka kadhaa ijayo...sisi kwanza tufute umaskini uliopindukia na tujenge barabara before tuwaze hata kua no1 Africa
Niliongea na mama mmoja wa kimarekani juzi kati alikuwa anaelekea Kilimanjaro nikamtania "China inakwenda kuchukua nafasi ya USA kama Superpower miaka michache ijayo je wewe unakubali hilo?" Akajibu shortly kabisa "Definitely "
 
our childhood USA vs USSR is still very much alive! cold war is still on fox! 💣💥

third world war is looming guyz..
Screenshot_20221027-211309_Gallery.jpg
Screenshot_20221027-210228_Chrome.jpg
Screenshot_20221027-210653_Google.jpg




infact its clearly written in the bible, in the book of Revelation, as the very last war ie. 'Armageddon' that will happen, hence bringing the world to an end!
... 🤔 thts what the bible would also reffer to as the 'Rupture'

nb:
biblical and islamic prophecies are not hoax guys, it shall all come to pass. they were 100% accurate these prophets!



Screenshot_20221027-210055_Chrome.jpg
 
Hizi mchele za Tanzania zimejaa mawe plus uchafu
Lazima uzichague kabla upike .
Mzee mchele unaoletwa huko ni wa kiwango cha chini hku ,wakenya wengi wananua mchele kahama wakati hku mchele wa kahama ndo mchele wa kiwango cha chini
 
Back
Top Bottom