Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Giant?mnaugiant gani watu wa kusaidiwa ninyi?Acha ujinga
Kalilie kwa choo na wewe pia.., so SA na Nigeria kwa kupewa msaada sio African giants? Kenya ni giant ha[pa EAC upende usipende, understand the context 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Anasahau SA is the most unequal country on earth,kule kuna watu wanamaisha duni sana,Wanahitaji huruma za USA kusurvive ,
Uko Nigeria nako hakuna lolote nchi yao watu wenye hali duni ni wengi sana,hizi takwimu za gdp haziwagusi wengi kule nao wanahitaji Kuhurumiwa...

Sa uyo kibwengo anadhani ni sifa nzuri kusaidiwasaidiwa ,Watakuja kuolewa hawa
Kweli kabisa aiseee
 
Sisi waafrika tungali na akili timamu tunatakiwa tushirikiane na China sana kwa maendeleo ya watu wetu wasasa na vizazi vijavyo, china sio mchoyo wa kutoa tekinolojia yake, ila tusiiwaache kabisa US mana kwasasa ni adui mkubwa wa dunia, ukimuuacha tu anakutengenezea zengwe upotelee mbali, kesi za ushenzi huo ni nyingi sana hapa AFrica, Libya, Zimbabwe, Somali n.k yote haya ni mataifa mazuri yaliyosambaratishwa na ushenzi wa marekani..

China for our future (miradi yenye tija)

US kwaajili ya kujihami tu,
Hawa ni watu wabaya hawataki kabisa kuskia tunajitegemea
Apa nakuona unajaribu kutengeneza hoja nzuri
 
Aisee nyie jamaa hovyo sn, hizi infrastructure zenu cjui kwnn ziko hivi, maudongo udongo, no wonder zinachoka mapema, miaka miwili baada ya uzinduzi yanakuwa hovyo kama toilet aisee
Rehill baada ya miaka minne..,
 
Nmewadicredit mno...Egypt ndio real giant na anasonga kwa kasi ya light
I beg to differ, do u know their issues kweli? ama unaona wanajenga a new city ukadhani wamefika? project zenye Nigeria wanazo, tokea refinery ya Dangote na mengine, Egypt watangoja sana GDP wise.., Nigeria needs good leadership ndio raiya wake wabenefit, nimewachunguza sana na industries zao, they are a real force.., SA economically hawatawafikia Nigeria hivi karibuni.., Nigeria is a real Giant.., with poor leadership! thus an oxymoron, ila they are undisputed economically in Africa.
 
Anasahau SA is the most unequal country on earth,kule kuna watu wanamaisha duni sana,Wanahitaji huruma za USA kusurvive ,
Uko Nigeria nako hakuna lolote nchi yao watu wenye hali duni ni wengi sana,hizi takwimu za gdp haziwagusi wengi kule nao wanahitaji Kuhurumiwa...

Sa uyo kibwengo anadhani ni sifa nzuri kusaidiwasaidiwa ,Watakuja kuolewa hawa
Hapa Africa kuna nchi zenye naheshimu ikija standards of living kama umezitembelea utanielewa..,, Mauritius na Seychelles.., sio Egypt ama SA.., even though they are giants..,
 
I beg to differ, do u know their issues kweli? ama unaona wanajenga a new city ukadhani wamefika? project zenye Nigeria wanazo, tokea refinery ya Dangote na mengine, Egypt watangoja sana GDP wise.., Nigeria needs good leadership ndio raiya wake wabenefit, nimewachunguza sana na industries zao, they are a real force.., SA economically hawatawafikia Nigeria hivi karibuni.., Nigeria is a real Giant.., with poor leadership! thus an oxymoron, ila they are undisputed economically in Africa.
Iyo New city imeattract foreign investors wengi sana pale,And minds you wanapiga miradi mingi mikubwa at once...

Dangote refinery ni kazi nzuri kubwa haina ubishi ila haitaweza cover FDI zinazomiminika Cairo kwa sasa

Sheikh Zayed city Egypt
20221027_125630.jpg
 
Hawa jamaa wako vizuri sana kwenye usafi, kupanga na kupendezesha miji yao, Afrika sijajua tunafeli wapi, sijui tumerogwa na nani.? Au ndio elimu hatuna, kwahyo hatujastaarabika kwa wingi wetu?
Kuna msemo kua masikini hajui ustaarabu...
Sisi ambao tunataka tupange nyanya kwenye eneo la njia ya wapita kwa miguu?sisi ambao hata tukiwekewa vyoo vizuri unajisaidia huflash? Bado sana tunaufala mwingi mnomno
 
Iyo New city imeattract foreign investors wengi sana pale,And minds you wanapiga miradi mingi mikubwa at once...

Dangote refinery ni kazi nzuri kubwa haina ubishi ila haitaweza cover FDI zinazomiminika Cairo kwa sasa

Sheikh Zayed city Egypt
View attachment 2399363
Yes niliwahi kupitia miradi yao hawa watu, wako na miji mingi tu wanajenga simultaneously.. they ar slowly becoming one of the most powerful countries on earth.. kwa maoni yangu Egypt ni balaa neither SA nor Nigeria inaweza shinda Egypt
 
Nilianza kufuatilia wanazidi nn SA ndio nikagundua kwa ground kuna mambo ya balaa sana yanafanyika...Hao wanakazana sahivi watoke kwenye LMIC waingie UMIC kama SA kwa speed ya light
 
Hawa Wakenya ni mbwa sn, wanaiga kila kitu, sio wabunifu kabisa. Hapa nilikuwa napita mitaa fulani huko Sweeden kwa Euro truck simulator 2 nikakutana na hii ambayo wameiga ila yao ina muonekano mbaya kama Kawaida yao low quality
Screenshot_20221027-130906.jpg
Screenshot_20221027-130953.jpg
Screenshot_20221027-130933.jpg
 
Back
Top Bottom