Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Morocco square.
Screenshot_2022-10-27-11-14-41-86.jpg
 
Ngojeni leo nikudhishirieni upumbavu wa huyu jamaa Don YF .. hiv kati ya hili 👇3.2 km cable stayed bridge in MwanzaView attachment 2398572.. this 1.4 km SGR viaduct 👇. Vs huu ushuziView attachment 2398615.. tunapigizana kelele na maskini wasiojielewa 🤣🤣🤣🤣.. kwake yeye an interchange with 50 m ni bora kuliko SGR viaduct and a cable stayed bridge with 3.2 km .. taifa halina dira a raia pia hawana dira

Unakuaga mjinga kuruka, unalinganisha kadaraja na a complex project, mbona unabakia boya siku zote dogo? kuwa unafanya utafiti kabla ya kujibizana na mimi la sivyo utalia tena😂😂😂😂😂😂 yaani hiyo interchange ina unganisha barabara kadhaa ambazo zote zinajengwa! cost ya hiyo three decker interchange pekee ni 16 billion, na hiyo Busisi yenu yote ni 37B, na sijajumuisha project yote, nyie bado sana, ujinga niondolee, ngojeni miaka mia moja kilaza.., hii sio project ndogo ya shillingi tatu mpuuzi wewe😂😂😂😂😂😂😂 .,
Matawi ya bangi sio mboga, wachana na bangi dogo, ona ulivyo ganda akili 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
1666856453894.png

Wacha nikuonyeshe project vile ilikua..,
Intercahnge at Changamwe area connecting four roads.., main road inatoka Mariakani kuelekea Mombasa CBD inapitia Makupa bridge iliyo kamilika hivi majuzi., ,
1666857872452.png

Makupa bridge wakati wa ujenzi..,
1666857917539.png

1666858530245.png

Completed sections of the road
1666859508637.png

Hapa ni during launch ya Makupa bridge ilipokamilika mkalia lia humu eti hapa sio Kenya.., iliwauma sana😂😂😂😂😂😂😂😂
1666858932605.png

Mwanza ni ndogo sana!.., a village town bado.., mengine bado hamjaanza ni plan ama ndoto, endeleni kujenga mtafika tu, kujilinganisha na Kenya ni jokes kilaza.., afadhali ungeringa na design (cable stayed bridge).., not complexity na size ya project.., wewe baki kwa mapicha dogo ujifurahishe ukingoja wakati wenu
 
Msaada anapewa alieomba msaada Acha kiswahili kingi kaka..mbaya zaidi ni misaada ya chakula umbwa ninyi hata kulima hamuwez?
Uache kutumia neno Giant kwenye mambo ya kipuuzi tafadhali
So SA na Nigeria waliomba? US are very strategic sana, they don't do things just for the sake, pengine ujitoe tu ufahamu ama hauwajui marekani., Kenya ni economic giant wa East Africa.., ebu type economic giant of East Africa uone jibu?.., na Kenya ni miongoni mwa giants in African context.., so zoea mapema
 
Unahadithia story za Nairobi .? 🤣🤣 Where each and every single project, owner ni foreigner even your roads 🤣🤣.
Each and every single project? sawa boya, vumilia mahali uko, zoea tu 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Each and every single project? sawa boya, vumilia mahali uko, zoea tu 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Ukinitajia project ya maana in the heart of NAIROBI city where you guys going to hutsle everyday, yenye ni kenyan owned project nakunya kutoka hapa DAR hadi kwetu Tanga 🤣🤣
 
So SA na Nigeria waliomba? US are very strategic sana, they don't do things just for the sake, pengine ujitoe tu ufahamu ama hauwajui marekani., Kenya ni economic giant wa East Africa.., ebu type economic giant of East Africa uone jibu?.., na Kenya ni miongoni mwa giants in African context.., so zoea mapema
Ukisoma history hasahasa "SAP" utaelewa nini maana ya USAID, Hiyo misaada have nothing to do with your ecenomic status, ndio mana na Sudani+UG wote mtakula huo mkono (msaada) ..hiyo ni Neo Colonialism implementation bro .
 
Na US wanapea nchi zenye wanajua ziko na faida flani, ndio maana SA na Nigeria wako nyie zero.., ikija USA nani hawajui? sisi tuta take advantage shauri yao.., sasa kwa SA na Nigeria kuwepo kwa list ya "msaada" na nyie mkose ina maana mko juu ya SA eti?.., wacheni kujitia hamnzazo bana.,
 
US wanepeleka hela sehemu wameona kuna faida flani, yaani some value inaweza kua pale, so wanatongoza kwa aid, for their interest first ndio maana giants wako kwa list kama Kenya, South Africa na Nigeria, lakini watu fukara wasio kuwa na faida ya maana hapa Africa wanapitwa tu.., yaani mnajaza choo tu, hamuna ata ya kuwasaidia omba omba wenu wanawakimbia wanakuja Kenya kujitafutia, idiots [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama kupewa aid ni sifa basi nyie ni mbwa sn aisee, vitu vya aibu namna hiyo na bado unajisifia.
 
Kama haujazunguka mjini wala usitoe idadi,nimeshangaa tu kibaha highway ina overpass 3 hadi sahv,pale magomeni kama unaenda kigogo round about kuna overpass ,sa sijui maeneo mengine

Kilwa Road wanajenga flyover 2,Nyerere Road flyover pale chang'ombe ,Mjini kama hujapita muda mrefu utashangaa
Outerinng pekee iko na overpass 5
Western bypass 5
Redhill 6
Mko na mchezo sana.
 
Msaada anapewa alieomba msaada Acha kiswahili kingi kaka..mbaya zaidi ni misaada ya chakula umbwa ninyi hata kulima hamuwez?
Uache kutumia neno Giant kwenye mambo ya kipuuzi tafadhali
Noma sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Iwe ni barabara, ni reli, ni masoko, iwe ni kwenye companies n.k hizo zote ni projects mnaenda ku hutsle kupata chochote kitu humo🤣🤣🤣 .. sasa nataka utaje hapa.. usinitajie wale wauza maua na mitumba barabarani 🤣🤣🤣+ vile vikampuni vyenu uchwara vya sales and marketing.. by the way nazijua application zenu za mauzo .. HOKELA &EFISALES 🤣🤣🤣
Sasa hapo fyata kabisaa, kwa vile Kenya iko nazo kibao hadi nchini kwenu tunawasaidia hustlers kama wewe.., usijitoe ufahamu tafuta lingine hapa unapoteza mda tu masikini, jiangalie kwanza😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Hasira zote za nn hizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukweli imekuingia penyewe, imebidi uandike chochote tu ilimradi ujiliwaze ila nimefinya your age mate kabisa, piga nduru😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
1666861256943.png
 
Sasa hapo fyata kabisaa, kwa vile Kenya iko nazo kibao hadi nchini kwenu tunawasaidia hustlers kama wewe.., usijitoe ufahamu tafuta lingine hapa unapoteza mda tu masikini, jiangalie kwanza😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Vi application vya mchongo tu 🤣🤣🤣, nyie jamaa ni janja janja tu hamna lolote 🤣🤣🤣 kutana na developers wa kibongo uone vile tunavyowapiga bao.
 
Back
Top Bottom