Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Kwani ikipigwa sgr si itajengwa mpya na TAZARA itabaki kama reli ya kati.wapuuzi wengine eti wanasema TAZARA isiwe SGR kisa connecting rails from SADC countries zinatumia mgr, now what value of cargo did those worthless countries from SADC shipped via mgr to and from Dar port ?
TARARA ina mtejaa Mkuu mmoja, Zambia. With an upgrade to SGR tutaongeza ufanisi zaidi na kuhudumia masoko ya Malawi na DRC. Haya ni masoko makubwa sana,
Kutoka Kapir Mposhi hadi Lubumbashi its only 350km approx..
Nchi yetu ni kubwa sana hata sisi kama wananchi tunahitaji usafiri wa haraka.
Mimi kwa akili yangu ningepiga sgr pote
Ila ningeijenga kwa style hii
Ingetoka Arusha kwenda mbeya kupitia dodoma. Kwa maana nyingine majiji yote ya Tz yangeunganishwa na sgr.
Kwa hiyo mzigo Unaweza shukia Tanga ukaenda sehemu yoyote ya nchi au nje ya nchi, na watz wanasafiri kwa u rahisi.