Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Modern world inakaa hiv NairobiWalker . Pitia hapa [emoji116]View attachment 2399258View attachment 2399259View attachment 2399260View attachment 2399261View attachment 2399264View attachment 2399265well organized, very clean, very grean, very beautiful buildings, very cool, yo u name it .. huku Africa hakuna modern labda SA unajitahidi unaweza taja angalau.. Ila si rest of the African countries
Anakwambia Westland cjui takataka gn eti ni coolest [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vi application vya mchongo tu 🤣🤣🤣, nyie jamaa ni janja janja tu hamna lolote 🤣🤣🤣 kutana na developers wa kibongo uone vile tunavyowapiga bao.
Nenda ukawahadithie Malawi hizi pambio zako bana, I know Tanzania, kwani unaniona aje? nikome bana.., nyie bado sana 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Outerinng pekee iko na overpass 5
Western bypass 5
Redhill 6
Mko na mchezo sana.
Redhill yenyewe ndiyo hii hapa alafu jamaa kaiweka kwenye list [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tapatalk_1602358143046.jpg
Screenshot_20211029-145657.jpg
 
Na US wanapea nchi zenye wanajua ziko na faida flani, ndio maana SA na Nigeria wako nyie zero.., ikija USA nani hawajui? sisi tuta take advantage shauri yao.., sasa kwa SA na Nigeria kuwepo kwa list ya "msaada" na nyie mkose ina maana mko juu ya SA eti?.., wacheni kujitia hamnzazo bana.,
Wao wamarekani wanatoa misaada kwa mataifa yanayosapoti sera zao, nchi zote za kiafrika zilizokubaliana au zinazokubaliana na masharti ya STRUCTURAL ADJUSTMENT PROGRAMME bila makando kando dio zitapata upendeleo zaidi.. kwahyo hao jamaa ni muendelezo wao tu wa kuwatawala.
 
Hapa nakubaliana na wewe dogo..., sitapinga.,
 
Wao wamarekani wanatoa misaada kwa mataifa yanayosapoti sera zao, nchi zote za kiafrika zilizokubaliana au zinazokubaliana na masharti ya STRUCTURAL ADJUSTMENT PROGRAMME bila makando kando dio zitapata upendeleo zaidi.. kwahyo hao jamaa ni muendelezo wao tu wa kuwatawala.
Ila siwapendi wamerekani kabisaa..,
 
Ila siwapendi wamerekani kabisaa..,
Sisi waafrika tungali na akili timamu tunatakiwa tushirikiane na China sana kwa maendeleo ya watu wetu wasasa na vizazi vijavyo, china sio mchoyo wa kutoa tekinolojia yake, ila tusiiwaache kabisa US mana kwasasa ni adui mkubwa wa dunia, ukimuuacha tu anakutengenezea zengwe upotelee mbali, kesi za ushenzi huo ni nyingi sana hapa AFrica, Libya, Zimbabwe, Somali n.k yote haya ni mataifa mazuri yaliyosambaratishwa na ushenzi wa marekani..

China for our future (miradi yenye tija)

US kwaajili ya kujihami tu,
Hawa ni watu wabaya hawataki kabisa kuskia tunajitegemea
 
Modern world inakaa hiv NairobiWalker . Pitia hapa [emoji116]View attachment 2399258View attachment 2399259View attachment 2399260View attachment 2399261View attachment 2399264View attachment 2399265well organized, very clean, very grean, very beautiful buildings, very cool, yo u name it .. huku Africa hakuna modern labda SA unajitahidi unaweza taja angalau.. Ila si rest of the African countries
Hawa jamaa wamenyoosha sana kazi..kazi ya maana, nilidhani Chicago kumbe Chengdu
 
So SA na Nigeria waliomba? US are very strategic sana, they don't do things just for the sake, pengine ujitoe tu ufahamu ama hauwajui marekani., Kenya ni economic giant wa East Africa.., ebu type economic giant of East Africa uone jibu?.., na Kenya ni miongoni mwa giants in African context.., so zoea mapema
Giant?mnaugiant gani watu wa kusaidiwa ninyi?Acha ujinga
 
Outerinng pekee iko na overpass 5
Western bypass 5
Redhill 6
Mko na mchezo sana.
Ndio tuko na mchezo nakubali..uchumi wetu hauruhusu kujenga dar pekee yake na kuacha maeneo mengine,Tunajenga nchi nzima...
Mkoa wa kigoma pekee yake wanajenga 300Km of superpave Road...Dodoma zinajengwa zaidi ya 300Km na mikoa mengine Sa hatuwezi kulaza hela zote Dar wakati wananchi kila mahali wanahitaji huduma
 
Sisi waafrika tungali na akili timamu tunatakiwa tushirikiane na China sana kwa maendeleo ya watu wetu wasasa na vizazi vijavyo, china sio mchoyo wa kutoa tekinolojia yake, ila tusiiwaache kabisa US mana kwasasa ni adui mkubwa wa dunia, ukimuuacha tu anakutengenezea zengwe upotelee mbali, kesi za ushenzi huo ni nyingi sana hapa AFrica, Libya, Zimbabwe, Somali n.k yote haya ni mataifa mazuri yaliyosambaratishwa na ushenzi wa marekani..

China for our future (miradi yenye tija)

US kwaajili ya kujihami tu,
Hawa ni watu wabaya hawataki kabisa kuskia tunajitegemea
Ukipata mda tazama hii documentary kuhusu China, yaani USA huwa inatumia propaganda kudhalilisha China but China ime grow fast kwa mda mfupi sana.., kwa clip utaona a small village in the 80s na sasa ilivyo badilika..., lazima Afrika ijifunze kutoka kwa China, kile walichofanya ndio waka attract global investors kwa mpigo., kutoka nchi mbali mbali, from USA to Europe, na pia wakajifunza na kuunda makampuni yao wenyewe..,
 
Noma sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anasahau SA is the most unequal country on earth,kule kuna watu wanamaisha duni sana,Wanahitaji huruma za USA kusurvive ,
Uko Nigeria nako hakuna lolote nchi yao watu wenye hali duni ni wengi sana,hizi takwimu za gdp haziwagusi wengi kule nao wanahitaji Kuhurumiwa...

Sa uyo kibwengo anadhani ni sifa nzuri kusaidiwasaidiwa ,Watakuja kuolewa hawa
 
Porojo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..,
Redhill.. [emoji116] [emoji116] , tuko mbele yenyu miaka 25 mbele, hilo mtakubali mpende msipende..., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2399331
View attachment 2399328
View attachment 2399329
View attachment 2399330
Aisee nyie jamaa hovyo sn, hizi infrastructure zenu cjui kwnn ziko hivi, maudongo udongo, no wonder zinachoka mapema, miaka miwili baada ya uzinduzi yanakuwa hovyo kama toilet aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom