ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,145
- 3,333
kwa picha mpo vizuri ila uhalisia ni njaa😁😁😁Thiba irrigation dam (Kirinyaga County)View attachment 2399464
View attachment 2399465
View attachment 2399466
kwa picha mpo vizuri ila uhalisia ni njaa😁😁😁Thiba irrigation dam (Kirinyaga County)View attachment 2399464
View attachment 2399465
View attachment 2399466
🤣🤣 Wacha kua mjinga kwahy unaiweka Mombasa kwenye sentence moja na hizo miji nyingine au.? There's no single City in East Afrika which qualifies a city status in the chinese worldits distinctively clear..
2nd city of US-- los angeles
2nd city of australia-- melbourne
2nd city of brazil-- rio
2nd city of china-- shanghai
2nd city of spain-- barcelona
2nd city of egypt-- alexandria
2nd city of SA-- cape town
2nd city of uganda-- ??
2nd city of Drc-- lubumbashi
2nd city of ghana-- kumasi
2nd city of zimbabwe-- bulawayo
2nd city of tanzania-- ??
2nd city of germany-- frankfut
2nd city of sweden-- gotenberg
2nd city of kenya-- mombasa
2nd city of UAE-- dubai
2nd city of india-- hyderabad
Kuna vitu vitatu nafikiri vitazungumzwa.
1) nadhani mh rais ameenda kutafuta wawekezaji
2) nafikiri watazungumza kuhusu reli ya tazara ijengwe Kwa kiwango cha Sgr kama unakumbuka mwaka huu rais wa Zambia alikuja tz na akaomba waangalie jinsi ya kujenga reli mpya ya tazara, kama tunavyojua hii reli ilijengwa na wachina Kwa jasho na damu.
3) pia nafikiri kuna mazunguzmo yatafanyika juu ya bandari ya bagamoyo.
Haiwezi kua kama ile yenu bana[emoji2]Ombeni sana vichwa vyake visiwe kama sura ya ng'ombe.., la sivyo mtakimbia uzi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila interior sio mbaya, panapendeza..,
View attachment 2399510
Jamaa hawa tukisema wanaona kama tunatunga hadithi,huo mchele ni balaa yani ukiula lazima ukubaliTaahira wewe hiyo ni repackage ya mchele kutoka Tanzania, hamuwezi kujilisha hata kwa County moja
Mchele wa Tanzania upo mpaka mbele!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787]daah umemaliza kabisaAC kwenye train zetu ni cheap sana sababu tunatumia umeme wetu wa bei chee, mchina hawezi kuchoma imported diesel kuwapooza Wakunya wakati the project is already white elephant
Kasoro ndogondogo kama hizo ila mkubali unawapa milo apo mjini NairobiHizi mchele za Tanzania zimejaa mawe plus uchafu
Lazima uzichague kabla upike .
Vodacom bado wanakimbiza ,ila sio mbaya ushindani unasaidia
Ubabaishaji tu kila sekta [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya sasa ndio mabadiliko yanayotakiwa, Sio eneo lina render nzuri ila miaka 10 bado majengo mawili [emoji23].
Wanajiandaa kua super power miaka kadhaa ijayo...sisi kwanza tufute umaskini uliopindukia na tujenge barabara before tuwaze hata kua no1 AfricaA small town in China with a population of 2.7 million people and Tatal GDP of $58 billion by 2021 .. a town called Zibo [emoji116]View attachment 2399593View attachment 2399595View attachment 2399596View attachment 2399597... Ndio tunaishi dunia Moja na wao lakini hatuna namna [emoji116].
Iyo gdp inaumiza kichwa sana[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787]A small town in China with a population of 2.7 million people and Tatal GDP of $58 billion by 2021 .. a town called Zibo [emoji116]View attachment 2399593View attachment 2399595View attachment 2399596View attachment 2399597... Ndio tunaishi dunia Moja na wao lakini hatuna namna [emoji116].
Tuiache tu hivi hivi bila filter au nitakuwa nmefanya kosa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa pia water tank ya 1990s ni kitu ya kukukasirisha[emoji1787]View attachment 2399459
Nimeangalia hundreds of vlogs za SGR ya Kenya sijawahi kuona TV imewashwa 😂😂😂 and always dirisha zipo opened[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787]daah umemaliza kabisa
Kwa speed ya 160km/hr sio salama kuwa na madirisha ya kufungua.Kwa mnaotaka kujua tofauti ya train za Tanzania na Kenya kwamaana ya locomotive pulled coaches angalia utofauti kwenye HVAC system. Train ya Tanzania ni full AC and heating while ya Kenya ni ya kufungua dirisha na kutoa kichwa nje nikimaanisha ni ile ya kuchungulia nje.View attachment 2399498View attachment 2399499
Mliiga design ili pafanane na kule ila mkafeli vby kama kawaida yenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ni dhihirisho kamili ya lack of exposure na ushamba mlio nayo.., tank ya maji ya zamani, kwenu mlikua watu wa visima na mito tu, mishamba, wakati mwingine funga bakuli lako unajiaibisha sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeongea kiungwana sana, interior ziko Poa kabisaOmbeni sana vichwa vyake visiwe kama sura ya ng'ombe.., la sivyo mtakimbia uzi 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ila interior sio mbaya, panapendeza..,
View attachment 2399510