Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa mnaotaka kujua tofauti ya train za Tanzania na Kenya kwamaana ya locomotive pulled coaches angalia utofauti kwenye HVAC system. Train ya Tanzania ni full AC and heating while ya Kenya ni ya kufungua dirisha na kutoa kichwa nje nikimaanisha ni ile ya kuchungulia nje.View attachment 2399498View attachment 2399499
AC kwenye train zetu ni cheap sana sababu tunatumia umeme wetu wa bei chee, mchina hawezi kuchoma imported diesel kuwapooza Wakunya wakati the project is already white elephant
 
Nyie fukara ikija purchasing power jilinganishe na msumbiji., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Sasa mna power ipi mkashindwa kumudu bei ya unga mpaka serikali ikakope loans ili kutoa subsidy?

Uchaguzi wenu wote main agenda ni bei ya chakula basic and low kama ugali halafu unasema purchasing power 😂😂😂
 
Lowering bei ya bidha is an issue even in developed economies, haibadilishi uwezo wa taifa kununua, nyie mkipata janga mtaihama nchi, mko wanyonge sana 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Very critical question.. ubaya wa jamaa tazama majibu yake 👇
Lowering bei ya bidha is an issue even in developed economies, haibadilishi uwezo wa taifa kununua, nyie mkipata janga mtaihama nchi, mko wanyonge sana 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Seems kuna mkopo mkubwa unaenda kusainiwa

Kuna vitu vitatu nafikiri vitazungumzwa.

1) nadhani mh rais ameenda kutafuta wawekezaji

2) nafikiri watazungumza kuhusu reli ya tazara ijengwe Kwa kiwango cha Sgr kama unakumbuka mwaka huu rais wa Zambia alikuja tz na akaomba waangalie jinsi ya kujenga reli mpya ya tazara, kama tunavyojua hii reli ilijengwa na wachina Kwa jasho na damu.

3) pia nafikiri kuna mazunguzmo yatafanyika juu ya bandari ya bagamoyo.
 
Mlime ule quality sio wa vitumbua ndio mtapunguza import,nani atachagua huo mchele over super rice from Kyela Tanzania..?
Hizi mchele za Tanzania zimejaa mawe plus uchafu
Lazima uzichague kabla upike .
 
Kenya wakifanyaga packaging bas wanaona huku Tz hakuna kabisa..hawa jamaa bhana.. okay mchele wa viwango tz 👇
2364928_MTAwMC0xMDAwLWVlOTAxZWMxOGQ.jpg
37978207-091d-4f3b-8cb8-fffd24fa4b7c.JPG
4(0).JPG
Screenshot_20221027-175323_1.jpg
vitu hivi kwa Tz so lazima vifanywe na kampuni kubwa tena since ni wafanyabiashara tofauti tofauti Wana afford tu kufanya packaging na mchele ni 1st grade
 
its distinctively clear..
Screenshot_20221026-182423_Gallery.jpg

2nd city of US-- los angeles
2nd city of australia-- melbourne
2nd city of brazil-- rio
2nd city of china-- shanghai
2nd city of spain-- barcelona
2nd city of egypt-- alexandria
2nd city of SA-- cape town
2nd city of uganda-- 🤔??
2nd city of Drc-- lubumbashi
2nd city of ghana-- kumasi
2nd city of zimbabwe-- bulawayo
2nd city of tanzania-- 🤔??
2nd city of germany-- hamburg
2nd city of sweden-- gothenburg
2nd city of kenya-- mombasa
2nd city of UAE-- abu dhabi
2nd city of india-- new delhi
 
Hii ni siku ya mashujaa yao, kulikua na offer bei ya tusker iliuzwa kwa bei ya promotion ambayo ni sawa na bei ya kawaida ya beers za Tanzania, angalia jinsi wanavyotaka kuuana 😂😂😂😂

Hawa ndio wenye purchasing power 😂😂😂

🤣🤣 So poa, alafu kuna jamaa yupo hapa claiming ati wako na purchasing power
 
Back
Top Bottom