Hii ni kwaajili yako kaka Don YF .. pitia hii baadhi ya miradi mikubwa Egypt . One among the biggest fish farms on earth in Egypt. Green House technology in Egypt supported by china
. Brand New Mansoura City in EgyptView attachment 2399394View attachment 2399396View attachment 2399398Nigeria ni joke bhana, hakuna kitu kule nae pia ni paper tiger tu
.Sasa pia water tank ya 1990s ni kitu ya kukukasirishaHawa Wakenya ni mbwa sn, wanaiga kila kitu, sio wabunifu kabisa. Hapa nilikuwa napita mitaa fulani huko Sweeden kwa Euro truck simulator 2 nikakutana na hii ambayo wameiga ila yao ina muonekano mbaya kama Kawaida yao low qualityView attachment 2399386View attachment 2399387View attachment 2399388

Ilo boma umelitupa lazima litalipua mtuHaya sasa ndio mabadiliko yanayotakiwa, Sio eneo lina render nzuri ila miaka 10 bado majengo mawili.
Nigeria wana utani sana 🤣🤣.. ni paper tiger tu .. ukweli usemwe tuHaya sasa ndio mabadiliko yanayotakiwa, Sio eneo lina render nzuri ila miaka 10 bado majengo mawili.
Ila SA bado wako juu ya Egypt, ata standards, ukitazama city nne zile major kule Egypt, yaani; Cairo, Alexandria, Giza na Shubra el-Khema, kisha uangalie major cities in South Africa; Johannesburg, Cape Town, Durban na Pretoria.., Egypt wako down sana.., zile conjested cities na residentials za kishamba zinakaa Yemen type u can't compare na ile class iko SA., SA ni Europe ya Africa, ila Egypt wanajaribu kutengeneza Dubai lakini bado...,Yes niliwahi kupitia miradi yao hawa watu, wako na miji mingi tu wanajenga simultaneously.. they ar slowly becoming one of the most powerful countries on earth.. kwa maoni yangu Egypt ni balaa neither SA nor Nigeria inaweza shinda Egypt
Jamaa wako na wivu ya Kenya hadi na tenk ya maji. Nigga adores Kenya hadi akiendesha euro truck all he sees is Kenya. Kenya lives rent free on his mind 😂😂😂Sasa pia water tank ya 1990s ni kitu ya kukukasirishaView attachment 2399459
Wakati nchi nyingine zinajenga digital cities like this, Kenya bado njaa ni kitendawili, hii Egypt 90% ni jangwa lakini huoni njaa ikiwatesa namna Kenya inateseka na njaa na sioni Ikiisha leo wala kesho, ukiangalia mikopo Kenya iliochukua na value for loans materialized ni huzuniIyo New city imeattract foreign investors wengi sana pale,And minds you wanapiga miradi mingi mikubwa at once...
Dangote refinery ni kazi nzuri kubwa haina ubishi ila haitaweza cover FDI zinazomiminika Cairo kwa sasa
Sheikh Zayed city Egypt
View attachment 2399363
Mlivyo hamna akili mnaenda kujenga irrigation project kwenye maeneo yanayopokea mvua za kutosha kwa majira, ukabila ndio unawapelekea kufanya hivi!Thiba irrigation dam (Kirinyaga County)View attachment 2399464
View attachment 2399465
View attachment 2399466
Hii ni dhihirisho kamili ya lack of exposure na ushamba mlio nayo.., tank ya maji ya zamani, kwenu mlikua watu wa visima na mito tu, mishamba, wakati mwingine funga bakuli lako unajiaibisha sana 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Hawa Wakenya ni mbwa sn, wanaiga kila kitu, sio wabunifu kabisa. Hapa nilikuwa napita mitaa fulani huko Sweeden kwa Euro truck simulator 2 nikakutana na hii ambayo wameiga ila yao ina muonekano mbaya kama Kawaida yao low qualityView attachment 2399386View attachment 2399387View attachment 2399388
Is that where I came?
During a press conference while visiting Kenya, Spain's Prime Minister Pedro Sanchez made a rather unfortunate gaffe - incorrectly referring to his host, President William Ruto, as the president of SenegalWhy are you so foolish? Ni kuzaliwa au maumbile ya tanzania? Thiba dam was built to double rice production in Mwea irrigation scheme and put an extra 10,000 hectares under irrigation.Mlivyo hamna akili mnaenda kujenga irrigation project kwenye maeneo yanayopokea mvua za kutosha kwa majira, ukabila ndio unawapelekea kufanya hivi!
Kwanini hii pesa msingeiwekeza kwenye maeneo yenye mvua chache na kame?
View attachment 2399469
Kweli aisee linafanana kabisa na wami la zaman kama huyo jamaa mkenya aliesema ATI ni cable stayed bridge.Mpe wami bridge iliyozinduliwa 1959,
Maana ameamua kuwa kituko

Ujinga yenye hawa watu wako nayo ni wa kipekee, jama huwa wanaandika guesswork tu, kile mtu anafikiria, yaani he looks at Kenya using Tanzanian poverty lenses, so view yake iko corrupted anafikiria tuko level moja ya kufanya mambo kama wao, yaani wanashutukiaga tu wameamua kufanya kitu bila due diligence., their Govt aim at appearance and PR more than value in their projects 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Why are you so foolish? Ni kuzaliwa au maumbile ya tanzania? Thiba dam was built to double rice production in Mwea irrigation scheme and put an extra 10,000 hectares under irrigation.
Ili uweze kulima mchele bila kungoja mvua, you need sufficient water in the rice paddies all year round. Na ndio maana hii dam ikajengwa sababu kitambo maji yalikua yakienda kwa rice paddies mara moja kwa mwaka lakini sasa hivi yatakua yanaenda all year round kunyeshe kusinyeshe.
This is going to reduce rice imports sana!Thiba irrigation dam (Kirinyaga County)View attachment 2399464
View attachment 2399465
View attachment 2399466
Uko sahihi,lakini wameamka na wanafanya mambo makubwa sio mchezo...speed yao ni kubwa mnoIla SA bado wako juu ya Egypt, ata standards, ukitazama city nne zile major kule Egypt, yaani; Cairo, Alexandria, Giza na Shubra el-Khema, kisha uangalie major cities in South Africa; Johannesburg, Cape Town, Durban na Pretoria.., Egypt wako down sana.., zile conjested cities na residentials za kishamba zinakaa Yemen type u can't compare na ile class iko SA., SA ni Europe ya Africa, ila Egypt wanajaribu kutengeneza Dubai lakini bado...,
Wakulima wa Mwea walikua wanategemea mto Thiba ambao unapunguza maji kwa kiwango kikubwa sana wakati mvua hazinyeshi. Now that kuna dam, hakuna mambo ya maji kupungua tena. Ni kulima all year round.Mlivyo hamna akili mnaenda kujenga irrigation project kwenye maeneo yanayopokea mvua za kutosha kwa majira, ukabila ndio unawapelekea kufanya hivi!
Kwanini hii pesa msingeiwekeza kwenye maeneo yenye mvua chache na kame?
View attachment 2399469
Wanasema kenya ni kame Sa na Egypt wasemeje?hawa ni wapuuzi tuWakati nchi nyingine zinajenga digital cities like this, Kenya bado njaa ni kitendawili, hii Egypt 90% ni jangwa lakini huoni njaa ikiwatesa namna Kenya inateseka na njaa na sioni Ikiisha leo wala kesho, ukiangalia mikopo Kenya iliochukua na value for loans materialized ni huzuni