Na sisi tutatumia the principle of reciprocity kwenye Tanzania Kenya trade halafu tuone tutafika wapi na hii project ya EA.Aliyekuambia sijui trading protocols za EAC ni nani? Wewe kaa ukijua kwamba hatukubali sukari yenu huku Kenya. Unga wenu uliosagwa pia hatuukubali huku Kenya. Tunanunua raw materials pekee ikiwemo mahindi ambayo haijasagwa. Kaulize Uganda ambao wanaumia kwa kujaribu kutuuzia manufactured goods kama maziwa ya pakiti na sukari. Lazima tuprotect industries zetu kutoka kwa low quality, sub-standard goods kutoka nchi jirani.
Cc Geza Ulole
joto la jiwe
