Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Embu weka picha moja ya mwanafunzi akitumia laptop ya UK hapa tucheke kidogo.
Those were political promises. Magu aliwadanganya kuhusu utendakazi wake. These two are very different things!
 
Serikali ya Tanzania haiwezi kufanya huo upuuzi wa lobbying kwa global organisations na multinationals ili wafungue offices Tz. We have better use for our money.
Sema ni wivu tu. Mbona yadhihirika kirahisi?
 
Kunyaland mpaka kesho wanafanya bilateral discussions kuhusu chakula, highest quality of poverty minded nation!


Uhaba wa chakula sio poverty bongolala. Tungekosa hela za kununua hiyo mahindi tuje kutembeza bakuli ndio hapo ingekuwa poverty. Lakini tunakuja na hela zetu
 
Uhaba wa chakula sio poverty bongolala. Tungekosa hela za kununua hiyo mahindi tuje kutembeza bakuli ndio hapo ingekuwa poverty. Lakini tunakuja na hela zetu
kila kukicha wataongea nikama wanatupa msaada wa chakula... hakuna cha msaada hapa, tuko biashra! it's a given and take kind of business... 'what have u got and what do I have....'
 
Uhaba wa chakula sio poverty bongolala. Tungekosa hela za kununua hiyo mahindi tuje kutembeza bakuli ndio hapo ingekuwa poverty. Lakini tunakuja na hela zetu
Hela ya chakula na umaskini huu mnaitoa wapi? Mngekua mnapokea hii misaada?

FMOCwOoXEAEy4ZM.jpeg
FMOCwL-X0AQRZs_.jpeg
FMOCwM8WUAcQpLN.jpeg
FMOCwNHXwAc7Zzv.jpeg
 
kila kukicha wataongea nikama wanatupa msaada wa chakula... hakuna cha msaada hapa, tuko biashra! it's a given and take deal
Mahindi tunatoa as far as Mexico. Hii yao tunanunua tu just because of the spirit of EAC
 
Hahahaha,
How I like these mbukinya stats,
Imagine by 2020 Tz had 10K out of 12K villages electrified through REA project, by 2024 we will have all the villages across Tz electrified.
Anyway keep those stats as they makes you feel good
Your government says that only 2.7m households are connected to electricity. Tell me how this translates to 85% access rate in a country of 60m people
 
Leta ushahidi Tanzania ikipokea misaada ya chakula, kunyaland mnanuka njaa to the highest heavens
Lazima nchi ipokee misaada ta chakula ndio iwe na idadi ya juu ya watu masikini? Hivyo ndivyo ulifundishwa pale Saint Kayumba?
 
Nani kakudanganya kuwa wataoajiriwa ni wakenya tuu unaijua vizuri recruitment system ya WHO.
Sijasema wote watakuwa Wakenya. Punguza ujuaji. Huwezi kuniambia kwamba driver wa UN atakuwa ni mzungu kutoka nje. Hajui lugha ya kiswahili na dereva lazima ajue lugha ya watu ili akipotea anaweza kuuliza directions, hajui maeneo ya Nairobi, hajui miji ya Kenya, hata akiambiwa nipeleke mahali fulani hajui, pengine anatokea nchi ambapo gari ni left hand drive wakati gari za Kenya ni right hand drive. Halafu Mzungu atapata tatizo kuendesha gari Kenya kwa maana traffic rules hazifuatwi sana kama huko kwao na madereva wa matatu ni wajinga sana barabarani. Punguza ujinga. UN kwenye recruitment kuna kazi huwa wanawachia locals. Kenya tuna UN headquarters na drivers wote ni Wakenya. Hata drivers tunawaona wakiendesha magari za UN wote ni Wakenya. Vile vile tuna embassies karibu mia moja na drivers wa hizi embassies ni Wakenya. Baadhi ya kazi ambazo foreigners watashindwa kufanya.
 
We jamaa fala kweli, mahindi kutoka Tanzania tu hamuwezi kumudu bei ya unga mpaka mnaandamana bei ghali ya unga, mahindi kutoka Mexico ndio mtayaweza bei yake? Unga utakua 2 times expensive kutokana na logistics
Tumewahinunua before and we will buy again if need be. Hata sasa hivi tushaagiza mahindi kutoka Zambia. Kelele zako si unaona hazisaidii chochote?
 
Sababu msaada wa chakula ndio the 'shamest' aid abled human being could ever receive!
"Shamest" of course 😂😂😂😂
Well, "shamest" ni kuwa nchi yenye idadi kubwa ya people living in extreme poverty
 
Back
Top Bottom