Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

-JPM alidanganya laptop per child.
-Alidanganya kutokomeza njaa.
-Alidanganya kufikisha reli malaba.
-Alidanganya kujenga five international stadia.
-Alidanganya kuwajengea SGR ya umeme akaishia kuleta reli zilizotumika Tanzania kwenye miaka ya 60 huko.
-Alidanganya kuwajengea word class infrastructure akawaletea Chinese slow train.
-Aliwadanganya kumaliza tatizo la ukosefu wa ajira.
-Alidanganya kutenda mamilioni ya hekari kwa ajili ya irrigation.
-Galana-kulalu project.
-Aliwadanganya atawalipa graduate ksh 10,000 hadi 15,000 per month ndani ya kipindi cha mwaka mmoja.
-Plan ya kujenga houses 500,000.
-Universal health care.
Na sasa hivi anaacha kinyago chake kwa ajili ya maslahi yake na familia yake kwa sababu anajua yule land grabber akifanikiwa tu kushika hatamu kwisha yeye mulevi wa gatundu.
Haya majinga kweli eti huwa yanamuita Magufuli muongo, sasa muongo kwenye lipi wakati mambo aliyosema kafanya, najua inawauma Magufuli alipotumia pesa za ndani baadhi ya miradi basi hiyo ndiyo kitu inawauma kwann Tz ijenge kwa pesa za ndani wkt wao ni misaada republic, huwa nashangaa sana wanavyopenda kujilinganisha na Tz ambayo inajitosheleza kwa mambo mengi.
 
Unamuona au ni mimi pekee yangu?
FXTadrcWIAAx__Y.jpeg
 
Mkipunguza kupigana miti kidogo mtaweza ku conserve energy kidogo itakayowapa joto la kutosha
Hahaha. Msimu huu wa baridi kujizuia kupigana miti haiwezekani. Miti inapigwa sana mwezi huu na watoto watazaliwa April mwaka ujao kwa wingi.
 
Wee si unasema ulikuwa Balkan, kipindi cha winter mlikuwa mnakunywa maziwa ya aina gani!!??
Mzee kwenye hostels kulikuwa na room temperature control system. Yaani room temperature ipo constant na ina joto ya kawaida japo huko nje ni sub zero temperature. Sasa huku Africa nyumba zetu hazina hii system.
 
Mzee kwenye hostels kulikuwa na room temperature control system. Yaani room temperature ipo constant japo huko nje ni sub zero temperature. Sasa huku Africa nyumba zetu hazina hii system.

Kwa hiyo ulikuwa unashinda rum, kusoma rum, supermarket rum, kila kitu rum.
 
Kwa hiyo ulikuwa unashinda rum, kusoma rum, supermarket rum, kila kitu rum.
Ukitoka nje ndio utahisi mziki wa sub zero temperature. Ila bus station ilikuwa hapo karibu unaingia kwenye basi na basi lenyewe pia lina temperature control system. Ila ukienda supermarket kwa miguu ndio utahisi mziki wenyewe. Ila inabidi uvae majacket mazito na gloves na boots special kwa ajili ya snow.
 
Sasa kwa nchi zilizoendelea zaidi, hata kituo cha basi unafanya timing baada ya kuangalia ratiba kwenye website.

All in all, during the winter season, you need to change the life style, from eating habit, outfits, etc. Lkn maisha huwa yanakuwa magumu tu, kwa sababu ya winter and darkness.
 
Nimeskia hii fununu from friends that have visited, i never thought it was that serious,kumbee jamaa wako on a balancing act
Endelea kufuatilia utapata majibu tu.Kule huwezi kuongea kama tunavyofanya huku, ikitokea mtu ameanzisha story za siasa zenye kukosoa watu wanakaa kimya, ukiendelea kuongea wanasepa unaachwa mwenyewe kwenye bench maana hujui nani ni nani amekaa pale.
 
Nimeskia hii fununu from friends that have visited, i never thought it was that serious,kumbee jamaa wako on a balancing act
Endelea kufuatilia utapata majibu tu.Kule huwezi kuongea kama tunavyofanya huku, ikitokea mtu ameanzisha story za siasa zenye kukosoa watu wanakaa kimya, ukiendelea kuongea wanasepa unaachwa mwenyewe kwenye bench maana hujui nani ni nani amekaa pale.
 
Haya majinga kweli eti huwa yanamuita Magufuli muongo, sasa muongo kwenye lipi wakati mambo aliyosema kafanya, najua inawauma Magufuli alipotumia pesa za ndani baadhi ya miradi basi hiyo ndiyo kitu inawauma kwann Tz ijenge kwa pesa za ndani wkt wao ni misaada republic, huwa nashangaa sana wanavyopenda kujilinganisha na Tz ambayo inajitosheleza kwa mambo mengi.
Yaani Magufuli alitufungua macho kwa kuondoa usemi wa hiki hakiwezekani yeye akawa anasema vyote vinawezekana kwa fedha zetu na nguvu zetu hakuna mtu atakayekuja kutufanyia miradi yetu.

Kama tulikopa means tuna uwezo wa kulipa.
 
Back
Top Bottom