Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uko sahihi. Pamoja na ukulima wangu lakini ni mdau wa hii sector, naishi kwa kodi za nyumba.
Kila sector kina umuhimu wake. Huwa watu humu wanasema kwamba malls hazina umuhimu wowote. Malls ni part of retail sector. Ni kweli malls sio lazima iwe katika uchumi fulani lakini retail sector lazima iwe. Vitu hivi nitakavyovitaja vipo chini ya retail sector.
1. Malls
2. Supermarkets
3. Markets (Soko kama ile ya kariokoo kwa mfano)
4. Hardware store
5. Bookshop
6. Duka la rejareja la mtaani (Retail store)
7. Whole sale store.
8. Butchery
Hii yote ni part of retail sector.


Sasa nataka kuzungumzia markets versus malls. Sasa kuna uchumi kama wa Tanzania ambao retail sector yenu imekuwa dominated na masoko (markets) na kuna uchumi kama wa South Africa ambao retail sector yao ipo dominated na malls. Kwa wazungu huko, malls zime replace markets na wazungu wananunua nyama na mboga kwenye malls na supermarkets. Kuna masoko kwa wazungu lakini malls ndio zimedominate kushinda masoko. Kuna different stages of retail sector development. South Africa ndio the most developed country in Africa na ndio maana wana mall space kubwa per capita. Kenya naweza sema ni 50-50 kwenye kutegemea malls and supermarkets versus masoko. Nigeria, Ghana na Tanzania naweza sema mnategemea masoko zaidi ya 80% na malls and supermarkets chini ya 20%.

Cc tuusan
 
Kwanza real Estate ya Kisumu is far much ahead of Tanzanian cities outside Dar.

This is Riat.

View attachment 2260752
Wacha kuwa mpumbavu wew, hakuna siku Kisumu itawahi wezana na Mwanza, kwenye mambo ya real estate,
1-1.jpg
44724477.jpg
5149445725_95c9e1350a_b.jpg
dsc_0301.jpg
P1080187.JPG
expediav2-371881-aeb343-164691.jpg
Screenshot_20220614-192749_1.jpg
.. hiyo mombasa yenyewe haitii pia mbele ya Mwanza
 
Kila sector kina umuhimu wake. Huwa watu humu wanasema kwamba malls hazina umuhimu wowote. Malls ni part of retail sector. Ni kweli malls sio lazima iwe katika uchumi fulani lakini retail sector lazima iwe. Vitu hivi nitakavyovitaja vipo chini ya retail sector.
1. Malls
2. Supermarkets
3. Markets (Soko kama ile ya kariokoo kwa mfano)
4. Hardware store
5. Bookshop
6. Duka la rejareja la mtaani (Retail store)
7. Whole sale store.
8. Butchery
Hii yote ni part of retail sector.


Sasa nataka kuzungumzia markets versus malls. Sasa kuna uchumi kama wa Tanzania ambao retail sector yenu imekuwa dominated na masoko (markets) na kuna uchumi kama wa South Africa ambao retail sector yao ipo dominated na malls. Kwa wazungu huko, malls zime replace markets na wazungu wananunua nyama na mboga kwenye malls na supermarkets. Kuna masoko kwa wazungu lakini malls ndio zimedominate kushinda masoko. Kuna different stages of retail sector development. South Africa ndio the most developed country in Africa na ndio maana wana mall space kubwa per capita. Kenya naweza sema ni 50-50 kwenye kutegemea malls and supermarkets versus masoko. Nigeria, Ghana na Tanzania naweza sema mnategemea masoko zaidi ya 80% na malls and supermarkets chini ya 20%.

Cc tuusan
Siwezi kukupinga mkuu. Ahsante kwa darasa. Labda aje ndg yangu Geza kunizingua
 
Alisomba wangapi,? Kwahiyo Ibanda na Rumanyika kote huko alisomba akapeleka wanyama. Je yalivyokuwa mapori tengefu wawindaji walikuwa wanawinda nini huko porini?

Bila historia utajuaje ulipotoka, ulipo na uendako? Sasa kama hutaki kuamini basi.Hata Pindi Chana akija hapa huwezi kukubali kwasababu umeamua kubisha.

Kwahiyo ofisi za watu wa Maliasili ambazo ziko Biharamulo toka zamani zilikuwa zinalinda viumbe gani.
Geza sasa hivi siandiki chochote nimegundua unanizingua na hauko serious ulikuwa unanichota tu akili.
 
Hamna mtalii anaenda Kunyaland, kuna vurugu za uchaguzi kule!



Zile kelele za KQ kuizuia KLM isitue moja kwa moja Zanzibar na Kilimanjaro ziliishia wapi?

Ni nouma Sana,hotel zote zimejaa na Watalii wameambiwa waahirishe safari hadi mwezi wa 9👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220614-110828.png
    Screenshot_20220614-110828.png
    191.5 KB · Views: 10
  • Screenshot_20220614-111144.png
    Screenshot_20220614-111144.png
    70.1 KB · Views: 10
  • Screenshot_20220614-110925.png
    Screenshot_20220614-110925.png
    111.1 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220614-111129.png
    Screenshot_20220614-111129.png
    112.8 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220614-110900.png
    Screenshot_20220614-110900.png
    101.1 KB · Views: 8
Hoja dhaifu Santa.Vile vivuko vya Tamesa vingiweza kuzamisha watu muda wowote vinasumbua sana kuna siku tumekaribia kufika bandarini kimsingi ujio wa Azam si tu unasaidia watu Bali ni ishara ya maendeleo ya nchi.mzee mwenyewe amebaki na kumbukumbu za kutoka huko ulikosema.Mtu alishavuka maji Toka utoto Hadi uzee
Wapumbavu hao Sukuma gang,vivuko vimechoka vinahitaji marekebisho makubwa na viko karakana unaanzaje kuviweka kwenye maji?

Mbona meli ya MV Sangara,MV hapa Kazi tuu ziko kwenye ukaranati mwaka wa 2 Sasa huu kwa nini hazikuwchwa zibebe abiria?

By the way mwaka ujao serikali inanunua kivuko kipya na kikubwa zaidi.
 
Wajaruo mnafuraha kweli sikuizi kwenye huu uzi wajaruo ndiyo mnachangia zaidi kwa sababu mnajua mjaruo mwenzenu anachukua nchi sasa hivi wakikuyu wapo kimya,wakamba kimya wakarenjini kimya kam komora096 toka akimbilie tz yupo kimya kabisa hataki hata kuisikia kenya maisha yalivyo mepesi tz anakula bata tu
acha nyege wewe, nawa zoom tu
 
Naamini hili litafanyika, mama yupo smart ana ubinadamu! Wale wanaodaiana na Hotel za Ngurdoto wanaweza kufanya off the court settlement ikiwemo madai kulipo in parts!
Serikali hapa haikufanya projection vizuri,wametangaza Royal tour wakati infrastructure za ku handle influx ni ni chache..

Wangefanya maamuzi ya haraka watafute hata pesa za mkopo waanze ujenzi wa hotel haraka Sana vinginevyo italeta tena picha mbaya..

Hotels ziko full na watalii hawataki kukaa kwenye camps na tents..

Changamoto za Mafanikio.
 
Wivu wa Wakenya uko hapa. Ni majirani wa ajabu sana.

By James Mulaitu, Kenya
June 13, 2022

Sponsored media and special tasks in my country (Kenya) are now busy misleading the world through false videos, pictures, and creating artificial scenes showing the Maasai in Ngorongoro crater badly beaten, injured, admitted, and treated in Kenyan hospitals.

All of these scenes are created and disseminated on one fabricated theme: "the government is forcing the Maasai out of their native villages to allow the UAE and some western countries to use the land for their hunting safaris."

As a Kenyan and frequent tourist in the crater as well as the neighbor, I am convinced that Kenya is sponsoring these fabricated scenarios to turnish Tanzania’s image internationally and dwarf all economic strategies engineered by President Samia Suluhu’s government that may soon outsmart the Kenyan economy.

Tanzania-Kenya Oil Pipeline, Kenya is not happy with the decision of Uganda to route its oil exports through Tanzania after a report found the country was a cheaper and more secure option than in the already signed deal that has angered Kenya, Uganda will use Tanga, a seaport city about 200km north of Dar es Salaam, to export its crude oil rather than Lamu in Kenya. The project is envisaged to create 15,000 jobs in Uganda and Tanzania.

Uganda’s decision not to partner Kenya is a major blow to the region’s biggest economy and could have strained underground relations in the bloc as well as Tanzania. Kenya has recoverable oil reserves of up to 750 million barrels, dwarfed by Uganda’s recoverable reserves of 1.8 billion to 2.2 billion barrels (pdf).

The Royal Tour, The government of Kenya is not happy with the "Royal Tour" documentary film, officiated by President Samia in the US and spread to all parts of the world with the aim of promoting and marketing Tanzania’s tourism in the world.

Kenya is in great panic that the film, which has been well received around the globe, will dwarf its tourism sector. That is why it is fighting hard to damage the Ngorongoro crater, which is one of the few tourist attractions in the world with humans living wild animals.

In the period from January to April 2022, 367,632 tourists visited Tanzania. This is an increase of 92,535 tourists, equivalent to +33.6% compared to the 275,097 tourists who entered the country during the similar period in 2021.

The number of tourists arriving in 2022 is expected to increase more than the number of tourists recorded before the COVID-19 pandemic due to the government’s efforts to promote tourist attractions such as national parks, beaches, Mount Kilimanjaro, and game reserves.

Mount Kilimanjaro, It is now clear that Kenya is not happy with Mt. Kilimanjaro being found in Tanzania. There is a big campaign in Kenya via social media and other outlets telling the tourism world
using the hashtag # we are happy to offer a 13-day expedition that will not take you to the summit of Kilimanjaro, but will first take you to the summit of Mount Kenya, 5,199m. And, as a result of that first climb, you will get all of the acclimatization you need for the second one.

Dar es Salaam Port, The heat from Kenya’s campaigns ahead of the August 9 General Election is affecting the flow of goods on the Northern Corridor, with Tanzania benefiting from the windfall as more cargo destined for the Great Lakes region is diverted to the Dar es Salaam port.

With memories of the 2007/08 post-election violence that disrupted transport on the corridor still fresh and a $63 million compensation award ordered by a Nairobi court still pending many importers, especially Ugandans and Rwandans, are opting for the Central Corridor.

Due to this cargo flight, transit volumes through the Dar es Salaam port to the Central Corridor have recently recorded significant growth as Mombasa registers plateaued or declining volumes of goods on the northern route. This has badly angered Kenya.

According to the latest Mombasa Port Corridor Community Charter report, transit volumes through the Dar es Salaam port grew by 21 percent in 2021, while those through the port of Mombasa declined by 6.2 percent in the same period. This badly angers Kenya.

Serengeti wins as Africa's leading national park, Kenya is not happy with the declaration of Tanzania's Serengeti as the 2021 Africa's leading national park, the Tanzania National Parks (TANAPA) by the World Travel Awards (WTA). It should be noted that Serengeti has won this award for the consequtively three tears (2019-2021) and no any Kenyan park has managed to tread.

This increases Kenya’s anger. That is why it is a big campaign to damage Tanzania’s tourism industry using its own created and fabricated scenes in Ngorongoro.
Mbwa ukimfahamu jina hakupi hawezi kukudhuru..Tuta dili nao accordingly..

Watanuna Sana 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220614-122645.png
    Screenshot_20220614-122645.png
    172.4 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220614-122209.png
    Screenshot_20220614-122209.png
    115.5 KB · Views: 7
Back
Top Bottom