Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,888
- 103,753
Lilidorora kama kawaida hamna Rais alikanyaga Kisumu pamoja na kutanganzwa marais sita wa Africa watakuwapo!
Lilidorora kama kawaida hamna Rais alikanyaga Kisumu pamoja na kutanganzwa marais sita wa Africa watakuwapo!
Tumejenga dual roads na ring roads za kutosha na tunajenga interchange maeneo ya Usagara plus Busisi bridge hizo zote ni investment za kutoshaYou people are always looking for excuses to cover up for your underdevelopment. Mwanza is your second biggest city na kila siku hapa mnailinganisha na Mombasa. Does it mean that Tanzania's second city haijakuwa na need ya kujenga barabara Kama hiyo ya Eldoret?
Kwamba Mwanza hakuna msongamano wa magari ama?
U pretty know what will come next, a more advanced and better forensic lab than what u have just built! Learn from SGR story my friend!Dint i say some countries will come benchmarking, at DCI HQsView attachment 2260914View attachment 2260913
Inamaana Kenya Kuna matatizo ya akili kiasi hicho?Groundbreaking ceremony for the construction of the Kenya international mental wellness hospital, ngong
View attachment 2260997
View attachment 2260998
View attachment 2260999
View attachment 2261000
The facility will employ 1100 doctors and other medical staff
Unajisifia uwekezaji wa hospital ya vichaa baada usikitike kwanini kenya vichaa wengi kiasi mpaka wawekezaji waone ni fursa?Groundbreaking ceremony for the construction of the Kenya international mental wellness hospital, ngong
View attachment 2260997
View attachment 2260998
View attachment 2260999
View attachment 2261000
The facility will employ 1100 doctors and other medical staff
Magari yako wapi.?
Kenyans to demonstrate in front of Tanzania embassy Nairobi over Ngorongoro evictionsView attachment 2260985
Nilisha sema sana kuhusu tatizo la design toka awamu iliyo pita hata ikulu mpya niliongelea mfano ni brt kukosa vyoo hadi wameungaunga tu kuviwekaMbona hukuandika hivi awamu iliyopita?
Wewe najua utarudi jf uchaguzi ukipita kwenu ...hongera kwa kuja bongo kujificha ...nakuona unafurahia maisha bongo mambo za slum umezikimbiaacha nyege wewe, nawa zoom tu


Huyo kizee fara achana naye tutafanya juu chini 2025 tumflash kwa choooI will not debate over cherry picked memesView attachment 2260984
Hapo tujue huo mchanga ni nini na unapelekwa wapi na unafaida gani ? Maana hata tz tunataka mchanga safi kuboresha fukwe zetu kama coco beach mchanga wake umesha kufa ni mweusi auvutii tena ,tumwage mchanga safi ili kuvutia utaliianother huge investment





U pretty know what will come next, a more advanced and better forensic lab than what u have just built! Learn from SGR story my friend!

laughable, are you admitting that you like following in our footstepseti sio kisumu.!🤔.. but infact i was there just the other week at Tom Mboya Labour College for some workshop.nairobae Tony254 Coco Master Nicxie dyfre Don YF kujeni muone huyu mwarabu bonoko anapinga ati hapa sio Kisumu😂😂
View attachment 2260596
Mambo mengine ya aibu sana.