Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mm kila siku humu huwa nasema kwamba value of Tanzanian projects equals to values of all projects in Kenya Uganda Rwanda Burundi DRC and Sudan combined but naonekana muongo ninaependa kuongeza chumvi. Na sasa bado nawaambia Wakunya kwamba GDP ya kwa ss ni $150bn itakapofika 2025 tutakuwa tushagonga $200bn baada ya miradi ya kimkakati kuanza kufanya kazi.
Hivi ni kwanini mombasa port ina handle more tonnes than dar port ambayo inatumia na nchi 8 kama coodip alivyosema.?? Nijibu kitaalam.
 
Mm kila siku humu huwa nasema kwamba value of Tanzanian projects equals to values of all projects in Kenya Uganda Rwanda Burundi DRC and Sudan combined but naonekana muongo ninaependa kuongeza chumvi. Na sasa bado nawaambia Wakunya kwamba GDP ya kwa ss ni $150bn itakapofika 2025 tutakuwa tushagonga $200bn baada ya miradi ya kimkakati kuanza kufanya kazi.
Huwa siamini sana kwenye mambo ya GDP maana siku zote GDP haisadifu yaliyomo.
Tanzania ndio ina miradi mikubwa na ya maana kwenye hii EAC yote.
 
Mm kila siku humu huwa nasema kwamba value of Tanzanian projects equals to values of all projects in Kenya Uganda Rwanda Burundi DRC and Sudan combined but naonekana muongo ninaependa kuongeza chumvi. Na sasa bado nawaambia Wakunya kwamba GDP ya kwa ss ni $150bn itakapofika 2025 tutakuwa tushagonga $200bn baada ya miradi ya kimkakati kuanza kufanya kazi.

Uko sawa
IMG_0017.jpg
 
Rouble hiyo iko hivyo kwasababu ya slump in production activities across Russia the need for importation ya industrial raw materials haipo tena and at the moment they are using their foreign reserves which are in Russia to keep the rouble floating handsomely but once the reserves finish rouble will plummet to historical lows since the break of USSR.
 
Kiboko ya mtanzania ni World bank, IMF< CAG, TANROADS, na Google earth😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
View attachment 2260636
Last three weeks nilipiga hii picha nikiwa zangu Mwanza kwenye moja Kati ya mitaa ya biashara za pesa mingi Rwagasore street 👇
IMG_20220518_092801_842.jpg
alaf nikiangaliaga hizi porojo za humu ndani ago kisumu inaweza battle Mwanza 😂😂 huwa nacheka sana .. tena hasa nikizingatia hii ndio Kisumu CBD 👇 together with posh area
download (34).jpeg
bro Kisumu ni tinny mno kushindana na Mwanza.. these are some streets in Mwanza CBD picha nimepiga mwenyewe 👇
IMG_20220530_122118_427.jpg
IMG_20220526_171401_391.jpg
IMG_20220526_171332_287.jpg
IMG_20220526_171605_389.jpg
IMG_20220526_172323_683.jpg
IMG_20220526_171448_393.jpg
IMG_20220530_132415_159.jpg
IMG_20220526_171210_920.jpg
IMG_20220521_160701_568.jpg
IMG_20220523_165846_843.jpg
 
Ujinga ni kutumia size of a place to measure development. Mwanza is just land with nothing substantial. Kisumu is beautiful, clean and organized. Mwanza is ugly, dirty and disorganized.
Wacha kuwa mpumbavu wew tahira, Kisumu haiwezani hata na ARUSHA, Mwanza ni issue ingine kabisaaa
 
Is there any heavy traffic on that area? Tz builds infrastructure according to our needs we dont put fancy infrastructure porini eti because our leader or the man at the helms comes from this area.
You people are always looking for excuses to cover up for your underdevelopment. Mwanza is your second biggest city na kila siku hapa mnailinganisha na Mombasa. Does it mean that Tanzania's second city haijakuwa na need ya kujenga barabara Kama hiyo ya Eldoret?
Kwamba Mwanza hakuna msongamano wa magari ama?
 
Kiboko ya mtanzania ni World bank, IMF< CAG, TANROADS, na Google earth[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2260636
World Bank - Dar real estate bigger than Nairobi, Kenya worse than Zimbabwe in poverty, kenya shiling is not free floating but managed. Au kuna world bank nyingine tena?
 
Real estate huja baada ya kuwa nchi imeshajenga middle class ya kuweza kulipia hizo real estate, sasa nchi haina middle class ya kutosha real estate ita survive vipi?

View attachment 2260727
Kila nchi hata zile masikini zina real estate sector. Hata Somalia na Burundi zina real estate sector. Binadamu lazima aishi ndani ya nyumba. Nyumba ni part of uchumi. Whether ni residential au office block, hio yote ni part of uchumi. Wacha ushamba. Hapo ulipo unaishi ndani ya nyumba au ndani ya msitu? Utasemaje kwamba kujenga office blocks au residential estates sio muhimu kwa uchumi? Unataka watu waishi kwa misitu?
 
Sawa!
 
Uchumi haujengwi kwa kudharau na kutenga sector fulani. Huwezi kusema kwamba unafocus na viwanda pekee halafu ukadharau real estate sector. Kwani hao wafanyikazi wanaofanya kazi viwandani wataishi wapi ikiwa umekataa kujenga residential buidlings? Wataishi misituni? Kila sector ina umuhimu wake.
 
Hujajibu swali kama wanyama walikuwapo kwanini mwendazake alisomba wa Serengeti kupeleka Bugiri-Chato NP? Naomba ujibu bila siasa na histotia nyingi!
Alisomba wangapi,? Kwahiyo Ibanda na Rumanyika kote huko alisomba akapeleka wanyama. Je yalivyokuwa mapori tengefu wawindaji walikuwa wanawinda nini huko porini?

Bila historia utajuaje ulipotoka, ulipo na uendako? Sasa kama hutaki kuamini basi.Hata Pindi Chana akija hapa huwezi kukubali kwasababu umeamua kubisha.

Kwahiyo ofisi za watu wa Maliasili ambazo ziko Biharamulo toka zamani zilikuwa zinalinda viumbe gani.
 
Uchumi haujengwi kwa kudharau na kutenga sector fulani. Huwezi kusema kwamba unafocus na viwanda pekee halafu ukadharau real estate sector. Kwani hao wafanyikazi wanaofanya kazi viwandani wataishi wapi ikiwa umekataa kujenga residential buidlings? Wataishi misituni? Kila sector ina umuhimu wake.
Uko sahihi. Pamoja na ukulima wangu lakini ni mdau wa hii sector, naishi kwa kodi za nyumba.
 
Back
Top Bottom