Ni kweli alihamisha wanyama kutoka sehemu nyingine lakini tangu awali walikuwepo, na iliitwa Burigi game reserve,ikizinguka pori la Kasindaga ambalo liko Biharamulo na Muleba, pori la Kimisi liko Karagwe.Haya mapori yote ndio yalitengeneza game reserve inayoitwa Burigi ,Wizara ya maliasili ikaipandisha hadhi na kuitwa Burigi Chato national park.
Malalamiko ya wana Biharamulo ni kwanini hifadhi iko kwao na inaitwa Chato,why isiitwe Biharamulo national park au Burigi national park?
Kuna ziwa ambalo liko Biharamulo linaitwa Ziwa Burigi. So wanyama wamekuwepo kitambo sana kabla hifadhi haijapandishwa hadhi.