Do you now trust wikipedia

Do you now trust wikipedia

Wekeni picha za barabara zilizokamilika maana 11k za Uhuru aneshajenga tayari hatutaki barabara ambazo ni work on progress hata sisi tunazo nyingi tuu zinazojengwa sasa.
More coming we just starting
Hiyo ni kampuni moja tuu ya Burundi halafu kuna wajinga hapa wanazarau uwezo wa Burundi as a country.Tanzania inatawala soko la EAC kwenye cement manufacturing..,tuna jumla ya viwanda 14,cha 15 mbioni kuanza kujengwa![]()
Hii attachment inaonyesha kampuni zingine pia 👇Hiyo ni kampuni moja tuu ya Burundi halafu kuna wajinga hapa wanazarau uwezo wa Burundi as a country.
Wajaruo mnafuraha kweli sikuizi kwenye huu uzi wajaruo ndiyo mnachangia zaidi kwa sababu mnajua mjaruo mwenzenu anachukua nchi sasa hivi wakikuyu wapo kimya,wakamba kimya wakarenjini kimyaTuliza matako nakuletea sahizi Wacha kuruka Ruka Kila Mahali

kam komora096 toka akimbilie tz yupo kimya kabisa hataki hata kuisikia kenya maisha yalivyo mepesi tz anakula bata tuLete 11k iliyokamilika sio work in progressUnataka aje kwani si nakupostia roads you laughing kwani unataka Nini Tena??
Hamna barabara uliopost so far zaidi ya jubilee propaganda
Barabara mlizonazo ni za vumbi sio za lami
Toka lini kilometers 2000 zikawa cheap kuliko kilometers 700, inflation aside
Mafala ya uhuru ndio mtaamini huu upuzi
View attachment 2248900



Analeta barabara za kwenye karatasi.Dah umewavua nguo mkuu salute.Kenyatta did not build the entire 525 KM of this road. Other phased were built by President Mwai Kibaki
Kuna phase ya Isiolo town - Merille river Bridge 136km
Turbi - Moyale 122km started in 7th November 2012 by President Mwai Kibaki
Merille river - Marsabit was also awarded in 2012
The whole conversation discussed by Kenyans as project continues with images from when it was started is in skyscrapercity from way back 2010.
Follow the link
View attachment 2248901
Hapa ni wapi? 🤔
View attachment 2245807
Na bado wamehesabu na kilometers za Tanzania humohumo.Hizi ndio longest kilometers of roads in Kenya, hata kilometers 3500 tu hazifiki
View attachment 2248923
Mdogomdogo utawakimbiza humu.Haya, tuendelee
Leta barabara nyingine sasa!![]()




Weka evidence ya hizo barabara hapa wacha kupiga domo tuu.Yaani hizi barabara ni mwaka gani waliweka? ya Kisumu inaanzia Isbania border na inaishia border na south sudan sio kitale kilaza, kumbe hauna uwelewa, uko hovyoya Malindi to Bagamoyo haijajengwa ama inaendelea.., iko wapi Nairobi to Busia? Mombasa to Lamu? Mombasa to Meru to Garisa? hauwezi lolote wewe., tupe facts za Tanzania tucheke., linchi likubwa fukara
![]()
Tutajie slum hata moja ya Dar tuone sio kuleta maneno ya kujifurahisha tuu hapa.Si ni ukweli Dar sio slum 90%.., na Tanzania sio fukara EAC yote? ama aje soja boy?
Mbona Nairobi expressway ina picha luluki kweli a significant road project ikose picha hata moja ni kichekesho.Unafikiria Kenya ni Tanzania kila kitu ni hafla?![]()
![]()
![]()
ata sikumbuki outer ring ikiwa na hafla ilipojengwa.., Red hill haikua na hafla,., yaani ujenzi mingi ya barabara Kenya haina hafla, tulizoea bana, kila kitu sio mbwembwe ama sherehe shenzi type, yaani umelemewa unatafuta vijisababu uchwara, nyambaff, jipe shughli ulcers itakumaliza mzee, usife kwa pressure bure
![]()
Wewe ulisema kwenye previous post yako kama lpg inakuwa charged 8% VAT hapo mpakani KRA wana haki ya kuingilia hili sakata. Sasa ndio nilikuwa nataka kujua anaye charge 8% vat for Kenya inbound goods ni TRA au KRA? Jibu kama mwanaume acha kutafuta kichaka cha kujificha.Sasa unauliza swali maembe unataka nani akujibu?
Hakuna battle kati ya Kenya na Tanzania. Tanzania tupo mbali mnoo kwenye kila sekta. Hapa tupo kupumzika na kusogeza muda.Kwa Jinsi wanavyoongea watu wa Huu mji nilitegemea Kuendane na maneno yao.
Kwenye Video Properly marked roads ni mtihani , Full of Chaos na hii ni Jumapili je siku za kazi inakuaje. Pia inaonekana Mikokoteni inalipa maana ipo kila kona, Jiji halina Bus la maana hata moja na malori yaliyogeuzwa kubebea abiria yapo kila kona . Wana kamera barabarani ambazo zinasaidia mengi pamoja na kuweka order ila sidhani kama zinatatua mambo hayo. ( Traffic na Police wangekusanya rundo la pato kutokana na kuwaadabisha wanao sababisha kutokua na order mfano maeneo ya pedestrian na kusimamisha magari ovyo kila eneo hasa ya abiria. Moi avenue imesifiwa na mwenye video kwamba ni properly marked road lakini kwa Taifa la uchumj mzito hivyo haina maajabu yoyote.
Pia swala la ukusanyaji taka ni majanga, kuna taka kila eneo.
Ule ugonjwa wa Dar wa Machinga pembezoni mwa Barabara naona tumewaachia wao.
Naona huu mji hauheshimu hata kidogo Pedestrian, wanavuka ovyo hakuna maeneo yao muhimu ya kuvukia na wengine wanatembea juu ya Fly over .
View attachment 2248867
View attachment 2248868
View attachment 2248869
View attachment 2248870
View attachment 2248871
View attachment 2248872
View attachment 2248873
Machinga Kambi popote .
View attachment 2248874
View attachment 2248875
Watu wanatembea juu ya Fly over .
View attachment 2248876
View attachment 2248877
View attachment 2248878
Typical Third world city type with African broken streets.
View attachment 2248883
View attachment 2248884
View attachment 2248885
View attachment 2248886
View attachment 2248887
Mizigo ya zambia Congo Lumbumbashi inaweza ikashukia Mtwara na kuwekea kwa sgr mpaka makambako ikapakiwa kwenye tazara cape gauge while at the same time sgr hiyohiyo ikaendelea mpaka songea, katavi, kaliua na kuunga na kigoma along lake Tanganyika.Nadhani sgr itaunga Kwenye cape gage Makambako but mzigo Unabebwa kwenda wapi ikiwa inajengwa kuelekea Mtwara?
Atakuwa anakula vyuku huku kwa kwenda mbele na beer bei rahisiWajaruo mnafuraha kweli sikuizi kwenye huu uzi wajaruo ndiyo mnachangia zaidi kwa sababu mnajua mjaruo mwenzenu anachukua nchi sasa hivi wakikuyu wapo kimya,wakamba kimya wakarenjini kimyakam komora096 toka akimbilie tz yupo kimya kabisa hataki hata kuisikia kenya maisha yalivyo mepesi tz anakula bata tu
Wacha ukabila wewe. Nyerere baba yenu aliwafunza msiwe na ukabila.Wajaruo mnafuraha kweli sikuizi kwenye huu uzi wajaruo ndiyo mnachangia zaidi kwa sababu mnajua mjaruo mwenzenu anachukua nchi sasa hivi wakikuyu wapo kimya,wakamba kimya wakarenjini kimyakam komora096 toka akimbilie tz yupo kimya kabisa hataki hata kuisikia kenya maisha yalivyo mepesi tz anakula bata tu