Unajua nilivyoona hizi picha nilishangaa sana, kilichonishangaza ni guts za yule mwehu aliyezileta akisema eti Nairobi Masaai huchunga ng’ombe everywhere as long as ana kibali cha Serikali…..kilichonishangaza kikubwa ni kuona anajivunia watu kuchunga ng’ombe hadi CBD, kingine ni guts za kutuambia kuwa na sisi tuige huo upuuzi kumbe hajui kuwa hiyo huruma wanapewa wamasaai Nairobi ni guilty conscience ya manyang’au waliodhurumu ardhi yote ya Nairobi kwa wamaasai na sasa wanapaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Anyways, tuachane na wenzetu wako kwenye post agrarian revolution, inawezekana hao sio ngo’mbe ni drones [emoji28][emoji28]
View attachment 2260676
View attachment 2260677
[emoji23][emoji23]