Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kila mti minyani inakwea unateleza πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
So crisp hadi wanadhani ni render, hadi raha, wacha wamwage povuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kisumu on πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯
1655216746022.png

1655216862223.png

1655216899548.png

1655216929161.png
 
Unajua nilivyoona hizi picha nilishangaa sana, kilichonishangaza ni guts za yule mwehu aliyezileta akisema eti Nairobi Masaai huchunga ng’ombe everywhere as long as ana kibali cha Serikali…..kilichonishangaza kikubwa ni kuona anajivunia watu kuchunga ng’ombe hadi CBD, kingine ni guts za kutuambia kuwa na sisi tuige huo upuuzi kumbe hajui kuwa hiyo huruma wanapewa wamasaai Nairobi ni guilty conscience ya manyang’au waliodhurumu ardhi yote ya Nairobi kwa wamaasai na sasa wanapaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Anyways, tuachane na wenzetu wako kwenye post agrarian revolution, inawezekana hao sio ngo’mbe ni drones View attachment 2260676
View attachment 2260677
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 eti sio Ng'ombe ni Drones.
 
Achana na huyo mjinga. Yani Kisumu imemshtua hivyo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Jamaa boya sana
Huu uzi ufungwe, sasa wamebakia kudandia historia tu ili kujikomboa., ona mapicha zenye wanaweka za Nairobi? past tenseπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sehemu yenye kwa sasa kuna expressway ameweka picha ya Ng'ombe., yaani Kenya ya leo hawana jibu kutoka kwao., tumemaliza mchezo, case closed! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Itakaa sawa kivipi? Majengo hayajengi nchi wala kuongeza income ya watu, kinachotakiwa siyo majengo mazuri mazuri bali ni viwanda vinavyoweza kutoa ajira kwa watu wetu ili kuongeza kipato na kujenga middle class inayoweza kumudu shopping, vinginevyo ni kujenga favela mpya, hao watu wote watawapeleka wapi ? Kuna sababu kwa nini walijenga huko milimani in first place.

Tanzania haihitaji shopping malls wala apartments na skyscrapers bali tunahitaji viwanda, …
Huwezi kumchagulia investor biashara ya kufanya ingekuwa ni initiative ya serikali sawa lakini sio.
 
They are very good at vita na midomo na kulazimisha mambo
Wamechoka kabisaa.., ukweli wa hali kamili ya uchumi wao hafifu umeonekana, nothing substantial to show all these years., slow progress.,
 
He he mnaona daladala hizo, lakini ukija JF watakwambia hazitumiki.
Daladala zipo ila daladala siyo vipanya ni mabasi makubwa tu .vipanya ni vile vibasi vidogo ukiingia ndani na kusimama wima uwezi lazima ujipinde mgongo na vina viti vichache
 
Achana na huyo mjinga. Yani Kisumu imemshtua hivyo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Jamaa boya sana
Ametoroka, yeye ako hivyo, wako kama watatu humu., they argue against the obvious πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Nani kakuambia dala dala hazitumiki? Hapo kuna BRT inakuja hutoona huo ushuzi tena, sisi tuna akili kubwa hapa EA na ndiyo maana unaona mambo yetu yanaenda, baada ya BRT kupita hapo zen hayo mabasi hutoyaona CBD na ndipo Dar itatangazwa rasmi kuwa one of the few African cities to be organized.
Hajui tofauti ya daladalana vipanya ...lini tumesema kuwa daladala hazipo mjini ? Vipanya ndiyouwezi vikuta mjini
Coco Master
 
Itakaa sawa kivipi? Majengo hayajengi nchi wala kuongeza income ya watu, kinachotakiwa siyo majengo mazuri mazuri bali ni viwanda vinavyoweza kutoa ajira kwa watu wetu ili kuongeza kipato na kujenga middle class inayoweza kumudu shopping, vinginevyo ni kujenga favela mpya, hao watu wote watawapeleka wapi ? Kuna sababu kwa nini walijenga huko milimani in first place.

Tanzania haihitaji shopping malls wala apartments na skyscrapers bali tunahitaji viwanda, …
Wewe ni mjinga sana. Unasema kwamba majengo hayajengi uchumi. Unajua kwamba kuna sector nzima ndani ya uchumi ya kila nchi inayoitwa real estate sector?
 
Ofcourse kama wanyama wapo hakuhitaji kuhamishia huko! Usiniambie walikuwapo sijui majangili wakawamaliza! Make it short wanyama hawakuwapo ndo maana JPM akaamuru wahamishwe toka Serengeti kwenda Buigi-Chato NP kama hitaji!
Ni vizuri wakati mwingine kukubaliana na wengine siyo kila wakati mawazo yako ni sahihi, au kila unachokijua wewe ni sahihi kwa wengine. Usipende kubisha kwa vitu usivyovijua unajiabisha.

Kuna shida mahali unajionaga unajua kila kitu na upo sahihi kwa kila kitu. Unapovuliwa nguo na upepo chutama. Kubali kuelimishwa bwana Gezaulole.
 
Sasa kama metropolis pana hali hii, countryside panafafanaje wazee wa fuso fabrication economy? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Aisee wakikuita mkenya pigana
View attachment 2260687View attachment 2260688
Nairobi ya leo, hiyo sehemu ya Ng'ombe hivi sasaπŸ‘‡πŸ‘‡.., Kenya 10 Tanzania 3., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
1655218002826.png

1655218675232.png

1655218692859.png

Hapo zamani za kale., wakati wamaasai wana protest wapewe sehemu ya kulisha mifugo yao., mtajiharia mwaka huu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
1655218047086.png
 
Back
Top Bottom