Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa mtindo huu wa kuglorify the agony dwellings hamtokaa mnasuke kwenye miozo mnamoishi
Kenyans seriously love their country with all our shortcomings, makes us standout in East and Central Africa
JamiiForums1037185786.jpg
 
Itakaa sawa kivipi? Majengo hayajengi nchi wala kuongeza income ya watu, kinachotakiwa siyo majengo mazuri mazuri bali ni viwanda vinavyoweza kutoa ajira kwa watu wetu ili kuongeza kipato na kujenga middle class inayoweza kumudu shopping, vinginevyo ni kujenga favela mpya, hao watu wote watawapeleka wapi ? Kuna sababu kwa nini walijenga huko milimani in first place.

Tanzania haihitaji shopping malls wala apartments na skyscrapers bali tunahitaji viwanda, …
Umesoma ile article? Kwa hiyo hao watu watafanya Kazi kiwandani bila kuwa na ujuzi?

Maeneo ya kuwapeleka yako mengi Sana tena decent na watawekewa mazingira ya fursa za biashara na ujuzi.
 
Nimeona jamaa "anaendesha" ngamia mtaani! IRMAO ngamia anaishi kwa plot...!! 😀😀😀😀
Wanabeba watoto around estates, very lucrative business. Nairobi is rich in its unique authentic culture. Imagine maasai na ngombe wake plus msomali na ngamia in Nairobi CBD existing in a mdoren complex city without clashes. Its beautiful.
images-30.jpg
 
Real estate, shopping malls & Co. siku zote huja baada ya kujenga middle class ambayo inaweza afford hivyo vitu vinginevyo ni white elephant project, I mean hela za kulipia hizo appartments zitatokea wapi kama watu hawana kazi?
Labda nikuulize kwa nini shoprite na game wamefunga na kuondoka unafikiri ?
Kwani hao middle income hawaongezeki kila siku? Kwani Ili uwe na middle income people lazima watoke kwenye viwanda pekee?
 
Real estate, shopping malls & Co. siku zote huja baada ya kujenga middle class ambayo inaweza afford hivyo vitu vinginevyo ni white elephant project, I mean hela za kulipia hizo appartments zitatokea wapi kama watu hawana kazi?
Labda nikuulize kwa nini shoprite na game wamefunga na kuondoka unafikiri ?
Tulidanganywa na JPM hivihivi wakati Chato Real Estate ikisukumiziwa miradi ya kulazimisha kila kitu kilisimama kwenye sector ya Real Estate pengine nchini!

Sasa hivi watalii hawana pa kulala Arusha wakati AICC ilikuwa na mradi wa MKICC uliokuwa na provison ya 2 hotels ukiacha modern bigger conference center!
 
Back
Top Bottom