Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

msanii wa juzi tu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
309E5289-8EC8-4C19-8C6E-AD2C9DEE782C.jpeg


 
Alafu angalia public buses za Kenya aisee, yn ndiyo ziko hvyo hvyo zootee, jamaa ni mafukara mno mm nawaambia ndugu zangu, Wakenya ni mafukara zaidi ya unavyoweza ku imagine.
Hawa jamaa nilisemaga maisha yao ni ya kiujanja janja.. hata GDP yao ni ya kimchongo.. yan kama maisha ya madalali, yan ujanja ujanja tu hakuna uhalisia
 
Kachibua ngozi huyu jangili. Hio sio rangi yake halisi.
True. Nandy hakuwa hivyo zamani. Kuna wakati watanzania humu walikuwa wanashabikia ubaguzi wa rangi Kwa kusema vibaya watu wenye skin tone nyeusi wa kutoka Kenya. Inashangaza sana Maana standards za aina hii Ndio zinawafanya wadada wadhani kuwa urembo ni kuwa na ngozi nyeupe. Otherwise you are just ugly. Absolutely disgusting!
 
Sasa wew hii si habari Jamhuri wametoa kwenye gazeti lao leo? Wao ndo source inabid tujue kilichoandikwa.. yan unauliza kitu as if kila mtu anakijua afu tukaamua kukaa kimya
I meant to say why no one is talking about the stalling of the procurement of SGR trains. The last time we were told they’d be here was April, yet nothing happened. It’s highly likely that something is fishy.
 
Why is no one talking about this?
View attachment 2259968
Tuliaema hapa ndio maana hii zabuni ilifichwa hawakuwa wakiizungumzia sana kila mara walikuwa wanaikwepa hii ni order toka Germany. Walipoona procurement ya trains imechelewa baada ya wazabuni kuleta pingamizi wakaona wanunue mitunba ili kuanza operations mapema.

Hiki ni kituko kama cha MV Dar es Salaam sijui viongozi wetu walikuwa kina nani kipindi hicho.
 
Back
Top Bottom